mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
kweli yaani, mi nahisi mishahara haiwatoshi may be waongezewe,maana inakuwaje wale wa DHL/FEDX hawafungui? au ni maadili tu hakuna au tamaa tu, hata TTCL ndo wale wale, nimeomba simu miezi mi3 iliyopita kila ukiwambia vipi mbona hamji kuweka eti magari hamna ya kuja hapo hahahaha TZ noma sana
Pole sana ndugu,haya mashirika yetu ya umma hayana tena uadilifu ni ufujaji kwa kwenda mbele.hapo kwenye nyekundu utumiaji wa hayo maneno naona sio sahihi kwa mfano "Kuboreka" lina maana ya kustawi ama imarika lakini sijui ulilitumia na kuchanganya lile neno la Kizungu "Bored" na kuliandika kiswahili kuonyesha umekata tamaa na huduma za hao jamaa wa posta ama la!Naandika nikiwa nimeboreka na huduma za POSTA! mara nyingi naagiza vifurushi toka nje, na vinakuja kwa njia ya POSTA...bei ya huko vinakotumwa inakuwa ni nzuri ikiwa unatumia POSTA, ukitumia fedex na dhl inakuwa kubwa zaidi sana ya ulivyonunulia ndo maana ninaopt kutumia posta, lakini kweli maji yamenifika shingoni, yaani nimeshaibiwa mara 2! na kama mara kama mara 5 hivi ninakuta wamevifunguafungua sijui wanajua ninini kipo ndani humo! yaani wananiboa basi tu, huwa nawauliza kulikoni, utasikia na sie tumeletewa hivyo hivyo toka headquarter nk, nimeshatoa malalamiko hakuna kitu! njemba zinaendelea kufungua tu! sijui ndo kusema salary ndogo wanazopewa haziwatoshelezi ama vipi, mie wananiuzi sana, haya bwana ngoja nitafute njia nyingine rahisi ingawaje rahisi ni noma ila sasa kwa mie M-TZ bei sana inakuwa ngumu yani, maana unanunua kitu dola 50 utaletea dola 60 sasa hapo naona inakuwa ngumu,,,haya wadau ni hilo tu nimeona nishee nayi maana roho inauma
pole sana. wa tz asilimia kama 70 ni wezi.kila mtu anaiba kulingana na wasaa wake.
mimi nipo kundi la 30% wewe je?samahani mkuu, wewe upo kundi lipi, la 70% au 30% ??
Mama Dunia hata mimi nimewahi kukutana na shida ya percel yangu huko posta. Nilikuta wameshaifungua na kuifunga tena, I was so furious! nilipouliza wakasema walikuwa eti wanakagua/wanaangalia usalama, nilijiuliza sikupata jibu yaani all the way from Ireland eti Arusha posta ndo wakague usalama, imagine? Kwa uzoefu ule sipendi tena kutumia huduma zao bora DHL
Pole sana ndugu,haya mashirika yetu ya umma hayana tena uadilifu ni ufujaji kwa kwenda mbele.hapo kwenye nyekundu utumiaji wa hayo maneno naona sio sahihi kwa mfano "Kuboreka" lina maana ya kustawi ama imarika lakini sijui ulilitumia na kuchanganya lile neno la Kizungu "Bored" na kuliandika kiswahili kuonyesha umekata tamaa na huduma za hao jamaa wa posta ama la!
Tuko pamoja ktk hiyo 30%, mwenzangu utaweza kukaa ktk kundi hili kwa maisha yako yote?mimi nipo kundi la 30% wewe je?
Pole sana ndugu,haya mashirika yetu ya umma hayana tena uadilifu ni ufujaji kwa kwenda mbele.hapo kwenye nyekundu utumiaji wa hayo maneno naona sio sahihi kwa mfano "Kuboreka" lina maana ya kustawi ama imarika lakini sijui ulilitumia na kuchanganya lile neno la Kizungu "Bored" na kuliandika kiswahili kuonyesha umekata tamaa na huduma za hao jamaa wa posta ama la!
mimi nitadumu humu daima dawamu.tehe! tehe! tehe!Tuko pamoja ktk hiyo 30%, mwenzangu utaweza kukaa ktk kundi hili kwa maisha yako yote?