Wizi mwingine Vodacom, je tulalamikie wapi?

Wizi mwingine Vodacom, je tulalamikie wapi?

Hata mimi jana wamenitapeli badala ya kunipa gb 5 wanenipa gb 1 nikajua labda nilikosea nikajaribu tena hivyo hivyo
 
Hapa Jf kuna thread yao ya Vodacom kwa malalamiko na mambo mengine Hii thread yako ungeiweka kule nadhani ingefaa zaid. Mods Msaidie kuipeleka Hii thread kule. Yote kwa yote ujumbe utawafikia tu
 
Hawa watu mie nikiwakumbuka basi ni jero au buku !
 
kweli VODA mmeishiwa hii nayo mnaita ofa:
BIG OFA.Pata MB 100, Dak120(Voda-Voda) ,dak 30 (Mitandao yote) na SMS 1000 kwa Sh 5000 tu zakutumia kwa siku 7. Piga *149*03*1# kujiunga na Ofa hii.
 
c485603d39d4b72437164e77f303a87f.jpg

Mimi yangu inanipa hivi!
 
Wamebanwa kwenye kulipa kodi ss hasira zao wanazimalizia kwa kuwaibia wateja wao
 
Back
Top Bottom