Wizi mtupu

Wizi mtupu

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Unaomba kazi ukiwa na vyeti
vyote...umefaulu vizuri...Una-Qualify
kabisa kupata hiyo kazi....Baada ya
Interview Bosi mmoja anakufuata
anakwambia Kazi Uliyoomba
unaweza kuipata ila umechemka
maswali ya Usaili...Ukitaka
nikusaidie uipate tukutane
NAMNANI HOTEL ROOM 304 kesho
jioni..Ulivyo Bolizozo na Kichwa
Panzi Ukaenda ukachanua
ukamegwa...Ukasaini
mkataba...UnakujaFacebook
unatuandikia,'YESU ASANTE WEWE
UNAISHI,MUNGU WA IBRAHIM ISAKA
NA YAKOBO,ASANTE MAANA WEWE
NI
BWANA,UMENIPA KAZI..WEWE NI
EBENEZAUnamdanganya nani??Yesu
ndo alikushauri ukamegwe na bosi
upewe kazi???We andika tu
ukweli...KAZI DAR NGUMU SANA ILA
MWILI UNASAIDIA.Usitufanye sisi
watoto wadogo eboo!Degree
haijakupa kazi hapo huna tofauti na
changu wa Corner Bar.
Shkamooni
Rasilimali-Kiuno wote...
Leave Jesus
Alone.
 
Ni sawa uliyoongea tena sahihi kabisa ila tu kichwa cha habari kinatofautiana na taarifaa yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom