mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,945 Reaction score 2,430 Nov 12, 2014 #61 Fidelis Sanga said: Exactly! Km unatumia smartphone yoyote hakikisha kabla hujaweka salio ume-SWITCH OFF MOBILE DATA. Ukiacha ON lazima ukatwe tu as internet charges. Click to expand... Hiyo nyekundu inapendwa sana Mombasa.
Fidelis Sanga said: Exactly! Km unatumia smartphone yoyote hakikisha kabla hujaweka salio ume-SWITCH OFF MOBILE DATA. Ukiacha ON lazima ukatwe tu as internet charges. Click to expand... Hiyo nyekundu inapendwa sana Mombasa.
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,180 Reaction score 27,780 Nov 12, 2014 #62 KWA UFAHAMU ZAIDI JINSI TUNAVYOIBIWA, SOMA HAPA: https://www.jamiiforums.com/habari-...kampuni-za-simu-zinavyowaibia-wateja-wao.html.
KWA UFAHAMU ZAIDI JINSI TUNAVYOIBIWA, SOMA HAPA: https://www.jamiiforums.com/habari-...kampuni-za-simu-zinavyowaibia-wateja-wao.html.
Mavella JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 459 Reaction score 76 Nov 12, 2014 #63 Ngoja waje hao vittel sababu nishatumia huduma zao nchi jirani voda kwaheri.
yenyewe JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 621 Reaction score 94 Nov 12, 2014 #64 Fidelis Sanga said: Exactly! Km unatumia smartphone yoyote hakikisha kabla hujaweka salio ume-SWITCH OFF MOBILE DATA. Ukiacha ON lazima ukatwe tu as internet charges. Click to expand... Pengine ni uzembe wetu sisi wenyewe Vodacom Tanzania njoo mtupe maelezo tafadhali. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Fidelis Sanga said: Exactly! Km unatumia smartphone yoyote hakikisha kabla hujaweka salio ume-SWITCH OFF MOBILE DATA. Ukiacha ON lazima ukatwe tu as internet charges. Click to expand... Pengine ni uzembe wetu sisi wenyewe Vodacom Tanzania njoo mtupe maelezo tafadhali.
G golota JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 538 Reaction score 157 Nov 12, 2014 #65 vodacom ni majambazi
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,962 Reaction score 54,074 Nov 12, 2014 #66 Sawa tutahama