Wizi mkubwa waja Tanzania

Wizi mkubwa waja Tanzania

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,284
Reaction score
4,651
Ni vyema niseme ili panapowezekana na dalili zitakapojitokeza tuwe macho kupingana nao. Katika mazungumzo yangu na rafiki wa karibu (ON FURAHI DAY) anayefanya kazi kwenye wizara nyeti inayohusika na fedha,kuna mipangilio ya kufanywa wizi wa fedha nyingi kama ule wa EPA ili kufanikisha mbio za uchaguzi 2015. Mipango hiyo inaratibiwa kwa usiri mkubwa na vigogo serikalini, familia zao na wapambe wao wa karibu. Hii imenifanya nitafakari maneno ya Dr. Slaa juu ya uteuzi wa Philip Mangula kuwa ana harufu ya EPA.

Jamani hii nchi ni yetu wale tutakaoona au kutumiwa (katika maeneo yetu ya kazi) kwa namna yoyote kutimiza hayo tutoe mbinu hizo chafu hapa JF. mod usitubanie post zitakazokuja ili tuikomboe nchi hii na umaskini.

FOOD FOR THOUGHT. NICE WEEKEND.
 
Mi niliskia na kuona kwa macho yangu kuwa bajeti ya Sensa ilikua Billion Saba but CCM walihitaji pesa za uchaguzi hivyo vifaa vilivyotakiwa kununuliwa ikabidi vipigwe panga kwa mfano, bajeti ilionyesha kuwa Wasimamizi wawe na Tisheti na tulichokiona ni Vizibao, vijikofia na vijibeji...huo ni mfano wa Item ambayo ilipigwa panga
 
Duu!!! Kwa hiyo huu ndio mchango wako kwa issue nzito kama hii??
Vya mjinga ndio viliwavyo na ndani ( jela tuta waweka) waludishe izo pesa watakazo kua wametuibia, na kutaifisha Mali zao zote. Mtoto akililia wembe mpe! nw watajidai wajanja kuiba na hatuwezi kuwazuia kuzigawa
 
Hii habari ni kweli tupu. Ndio maana waasisi wa wizi wa hela zitumikazo kwenye chaguzi za CCM wameradishwa kwenye CC. Hawa ni Kinana, Mangula na Meghji. Hawa ndio waliratibu wizi wa hela za uchaguzi wa kumchagua Mkapa na Kikwete. na sasa wamerudishwa tena kuendeleza UMAFIA wao kama ule wa EPA, KAGODA, MEREMETA nk.

Maandalizi ya uchaguzi wa 2015 yameanza officially!
 
looh.kumbe!
kwa kuwa Mungu hapendi wizi,watajificha kwa wanaadamu.ila Mungu atawaumbua lazima.
 
Inaweza kuwa na Ukweli hiyo yako taarifa; Tarehe 11 Nov Kuna rafiki yangu anafanya kazi Benk katika cheo cha juu katika tawi lake; aliniambia kwa mshangao kuwa wameagizwa na serikali kuwa fedha za miradi mbalimbali nchini zihamishiwe zote NMB. Anasema ni MABILLIONI YA SHULLINGI KWA UJUMLA. Akawa ananiuliza sababu inaweza kuwa ni ipi! nami nikasema tu aah!! yaweza kuwa ni maandalizi ya uchaguzi 2015. Katika maaelezo yake akaniambia kuwa wafadhili wa TASAF wao wamesema hapana...zitabaki zilipoo..LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJAA
 
CDM wameanza kukimbiza kivuli chao miaka 3 kabla ya Uchaguzi....... kama mmeanza kuweweseka mapema hivi, uchaguzi ukifika si mtananiiii kwenye suruali zenu?

HOLD YOUR BREATHS, THE WORST IS YET TO COME!
 
Du!!!!!!!!!!!!!Da!!!!!!!!!!!!!Mi hoi. Kidonda bado kibichi mtu ana....
 
wewe unayaona maovu yanatendeka,unaonaje kutusaidia wtz tuwapeleke mahakani kuliko kupiga porojo kila siku
 
Ni vyema niseme ili panapowezekana na dalili zitakapojitokeza tuwe macho kupingana nao. Katika mazungumzo yangu na rafiki wa karibu (ON FURAHI DAY) anayefanya kazi kwenye wizara nyeti inayohusika na fedha,kuna mipangilio ya kufanywa wizi wa fedha nyingi kama ule wa EPA ili kufanikisha mbio za uchaguzi 2015. Mipango hiyo inaratibiwa kwa usiri mkubwa na vigogo serikalini, familia zao na wapambe wao wa karibu. Hii imenifanya nitafakari maneno ya Dr. Slaa juu ya uteuzi wa Philip Mangula kuwa ana harufu ya EPA.
Jamani hii nchi ni yetu wale tutakaoona au kutumiwa (katika maeneo yetu ya kazi) kwa namna yoyote kutimiza hayo tutoe mbinu hizo chafu hapa JF. mod usitubanie post zitakazokuja ili tuikomboe nchi hii na umaskini.

FOOD FOR THOUGHT. NICE WEEKEND.
Hakuna kitu kibaya kama kutoweza kutumia ubongo wako katika kutafakari, matokeo yake unakuwa mtu wa kulishwa fikra na kwa vile kila mja ana zake basi huishiwa kuyumba kama zezeta ilhali ya kuwa timamu wa akili.
Mimi siyo mwanasiasa na mzee phlip mangula simshabikii kabisa lakini ukweli [watu wote wanoamfahamu hata wanakijiji wenzake] watakwambia kuwa ni mtu mkweli, ana msimamo, hapendi rushwa kabisa [kwao waliwahi kumnyima kura kwa sababu ya mkono mfupi na kutopenda makundi] kutuhumu kuwa ati kwa vile yeye ni makamu wa mwenye kiti ni sehemu ya mpango huo kama upo ni upuuzi mkubwa.
Vilevile ukumbuke kuwa yeye siyo mtendaji mkuu.
 
Hii habari ni kweli tupu. Ndio maana waasisi wa wizi wa hela zitumikazo kwenye chaguzi za CCM wameradishwa kwenye CC. Hawa ni Kinana, Mangula na Meghji. Hawa ndio waliratibu wizi wa hela za uchaguzi wa kumchagua Mkapa na Kikwete. na sasa wamerudishwa tena kuendeleza UMAFIA wao kama ule wa EPA, KAGODA, MEREMETA nk.

Maandalizi ya uchaguzi wa 2015 yameanza officially!
mkuu ile ni CAPO REGIME...au Killing Squad....unakumbuka ZNZ mwaka 2001?
 
Hakuna kitu kibaya kama kutoweza kutumia ubongo wako katika kutafakari, matokeo yake unakuwa mtu wa kulishwa fikra na kwa vile kila mja ana zake basi huishiwa kuyumba kama zezeta ilhali ya kuwa timamu wa akili.
Mimi siyo mwanasiasa na mzee phlip mangula simshabikii kabisa lakini ukweli [watu wote wanoamfahamu hata wanakijiji wenzake] watakwambia kuwa ni mtu mkweli, ana msimamo, hapendi rushwa kabisa [kwao waliwahi kumnyima kura kwa sababu ya mkono mfupi na kutopenda makundi] kutuhumu kuwa ati kwa vile yeye ni makamu wa mwenye kiti ni sehemu ya mpango huo kama upo ni upuuzi mkubwa.
Vilevile ukumbuke kuwa yeye siyo mtendaji mkuu.
u nahisi nawe umekuja na fikra za kulishwa......
mku
 
Hii habari ni kweli tupu. Ndio maana waasisi wa wizi wa hela zitumikazo kwenye chaguzi za CCM wameradishwa kwenye CC. Hawa ni Kinana, Mangula na Meghji. Hawa ndio waliratibu wizi wa hela za uchaguzi wa kumchagua Mkapa na Kikwete. na sasa wamerudishwa tena kuendeleza UMAFIA wao kama ule wa EPA, KAGODA, MEREMETA nk.

Maandalizi ya uchaguzi wa 2015 yameanza officially!

Kumbe walikuwa wanafanya maandalizi
 
Hakuna kitu kibaya kama kutoweza kutumia ubongo wako katika kutafakari, matokeo yake unakuwa mtu wa kulishwa fikra na kwa vile kila mja ana zake basi huishiwa kuyumba kama zezeta ilhali ya kuwa timamu wa akili.
Mimi siyo mwanasiasa na mzee phlip mangula simshabikii kabisa lakini ukweli [watu wote wanoamfahamu hata wanakijiji wenzake] watakwambia kuwa ni mtu mkweli, ana msimamo, hapendi rushwa kabisa [kwao waliwahi kumnyima kura kwa sababu ya mkono mfupi na kutopenda makundi] kutuhumu kuwa ati kwa vile yeye ni makamu wa mwenye kiti ni sehemu ya mpango huo kama upo ni upuuzi mkubwa.
Vilevile ukumbuke kuwa yeye siyo mtendaji mkuu.

Usichokijua ni usiku wa giza
 
Back
Top Bottom