Bill Ricky
New Member
- May 18, 2013
- 3
- 0
Kupitia huduma ya mitandao ya kijamii Dr. Felician B. Kilahama, anayo masikitiko makubwa sana kutokana na kitendo cha baadhi ya watu wasiokuwa na nia njema walisababisha apoteze begi lake lililokuwa na vifaavyake muhimu sana.
Hali hii ilitokea tarehe 06 Julai 2014 akiwa njiani kutoka Iringa na ilikuwa kati ya Morogoro na Picha ya ndege-Kibaha ilipodhihirika kuwa hilo begi ambalo lilikuwa na vifaa muhimu likawa halipo sehemu ambako alilihifadhi.
Vifaa hivyo ni pamoja na: Laptop computa, camera (canon ndogo), kisanduku cha miwani ya kusomea kikiwa na miwani pamoja na modems za internent mbili: Voda na Zantel, funguo za nyumbani, simu yenye njia mbili: tigo na zantel, flash discs kadhaa, nyaraka muhimu na dawa kadhaa za kisukari na BP.Kusema kweli hali ya kuibiwa kwa begi hiyo ilijulikana baada ya kufika Picha ya ndege Kibaha na kijana mmoja akawa anateremka hapo na akasema amaibiwa computa yake.
Ndipo Dr. Kilahama aliposhtuka na akaangalia sehemu aliyokuwa amehifadhia begi lake ikawa halioni na kutafuta kila sehemu bila ya mafanikio. Hivyo kuashiria kuwa limeibiwa.Pia Msafiri mwingine naye akaona sehemu alipoweka comuta yake haipo loooo! kikawa ni kilio.
Inasemekana wanaume wawili waliteremkia sehemu ya Mlandizi na kwa kuwa ilikuwa saa tatu usiku na ilikuwa giza lakini baadhi ya abiria waliowaona wameteremka na mabegi yanayodhaniwa kuwa ni hayo yaliyoptea.Kwa hali hiyo wakazi wa Mlandizi wanaombwa kuwa wadadisi kwa watu watakaoonekana wakiuza vitu kama hivyo.
Waliochukua vitu hivyo wanefanya kitendo cha kinyama na nidhahiri kuwa hawatatumia vitu hivyo bali watauza.Wakazi wa Mlandizi na maeneo mengineyo wanatahadharishwa kuwa waangalifu katika hili.Watakao ona dalili zozote za picha au nyaraka zinazohusu Dr. Kilahama watoe taarifa kwa kituo cha karibu –Police au kwa viongozi wa eneo husika.
Pia ikitokea kuwa nyaraka au dawa zimetupwa mahali tafadhali peleka kwa viongozi au kituo cha polisi au piga simu 0783 007400 au 0756 007400.
Tafadhali sana tushirikiane katika hili na tufichue wahalifu wa aina hii. Yeyeote atakayeoneka ametumia picha kutoka kwa camera iliyoibiwa au kukutwa na nyaraka zisizomhusu ajiulize mara mbili hali itakuwaje?
Asante sana kwa ushirikiano wenu mzuri.