Mwaka jana pale block F ninarafiki yangu aliibiwa laptop ikiwa na dissertation yake na mbaya zaidi hakuisevu sehemu nyingine.Hakuweza kugraduate na sisi mwaka jana ndio anamaliza mwaka huu.ILA ASILIMIA KUBWA YA WEZI PALE WANAUFAHAMU MKUBWA NA MAZINGIRA YA PALE HOSTELI.
Huyo Oswad ndo yule wa chemical and processing engineering? Maana namfahamu toka miaka ya 2001 alikuww anakuja sana ARU ni mweusi na ana lafudhi ya kichaga. Miaka ya 2006 nilikutana naye utawala akadai kuna somo alikamatwa na hivyo kurudia mwaka. Na ana kigugumizi kikali kweli labda kama sio yeyeHapo mabibo miaka ya mwanzoni paliwah kuwa na jamaa fulani hivi ana kigugumizi (Oswald) akijitambulisha anasomea uhandisi.
Siku ya siku alikutwa na furushi la nguo za ukwe e na baada ya 'kuhojiwa' ikabainika wala si mwanafunzi na kibaka aliekubuhu. Ajabu alikua amebebwa na mtu 'unknowingly'.
Btw.... mabibo hostel imechakaa sana. Well zaidi ya sana. Hivi, wamepiga hata rangi karibuni?
Huyo Oswad ndo yule wa chemical and processing engineering? Maana namfahamu toka miaka ya 2001 alikuww anakuja sana ARU ni mweusi na ana lafudhi ya kichaga. Miaka ya 2006 nilikutana naye utawala akadai kuna somo alikamatwa na hivyo kurudia mwaka. Na ana kigugumizi kikali kweli labda kama sio yeye
Ndiye mkuu. Alikua anajidai kusoma huko... ajabu alikua hana kigugumizi akiimba. Hasa kwaya!!
Alikua na mwili Mdogomdogo sometimes anavaa miwani. Akihadithia kitu utaskia "yaani mimi oswald mimi...." kwa lafudhi ya kichagga as you correctly say
Ndo huyo huyo alikuwa ana girl friend ARU bahati nzuri yule dada alimpiga chini na kuolewa na mtu mwingine!!!! Yaani kila siku alikuwa anakuja ARU hasa hostel ya wanawake labda alikuwa anakuja kuiba pia
Tehe tehe teeeee mjini shuleNdo maana ARU hostel za kinadada wizi ilikua jadi. Na alikua nao wengi tu mkuu hasa main campus. Tongoza yake ndo ilikuaga sheeedah...
Mwenyewe akimspot demu anamfata (hasa kwenye vimbweta ndo ilikua speciality yake), anashusha kibegi, anatoa 'vitabu' anaanza kubukua nae! (Hata discussion alikua anamudu na mtu wa kozi yoyote hakyanani!)
Anatafuta fursa anaanzisha stori zingine. Sasa kile kigugumiz mademu walikua wanamuonea huruma balaa.... ilikua akianza mtongozo anakizidisha maksudi! Inafkia pwenti demu anamwambia "usiteseke tena Oswald, mimekuelewa unachotaka". 'Kwa furaha', oswald anamuimbia kwaya!
Jamaa alikua 'smart' kiukweli.
Ndo maana ARU hostel za kinadada wizi ilikua jadi. Na alikua nao wengi tu mkuu hasa main campus. Tongoza yake ndo ilikuaga sheeedah...
Mwenyewe akimspot demu anamfata (hasa kwenye vimbweta ndo ilikua speciality yake), anashusha kibegi, anatoa 'vitabu' anaanza kubukua nae! (Hata discussion alikua anamudu na mtu wa kozi yoyote hakyanani!)
Anatafuta fursa anaanzisha stori zingine. Sasa kile kigugumiz mademu walikua wanamuonea huruma balaa.... ilikua akianza mtongozo anakizidisha maksudi! Inafkia pwenti demu anamwambia "usiteseke tena Oswald, mimekuelewa unachotaka". 'Kwa furaha', oswald anamuimbia kwaya!
Jamaa alikua 'smart' kiukweli.
Hapo wizi ni hatari sana.mie waliiba nguo zingali mbichi kwenye kamba, nikiwa block F.karibu mabibo, karibu shato pori... hapo bado, subiri kaboom kakate ndo utajua wizi ni nini