Wizi kwenye ATM za CRDB

Sehemu kubwa ya wizi kwenye mabenki huusisha wafanyakazi wa benki wenyewe.. Wale IT specialists wao na wahasibu
 
Samahani kwa kukuuambia hichi..ulipaswa toa taarifa kadi yako iwe deactivated dakika uliojua imepotea..samahani sana ila ilaumu nafsi yako
 
Nilichoana hapa ni kwamba jamaa hakupoteza kadi ila huenda mpenzi wake au mke wake kamuzunguka,haiingii akilini kabisa.
Okonko si kweli, huku nilipo nipo mwenyewe na familia iko mkoa mwingine.
 
Samahani kwa kukuuambia hichi..ulipaswa toa taarifa kadi yako iwe deactivated dakika uliojua imepotea..samahani sana ila ilaumu nafsi yako
Nlifanya hivyo but tayari alikuwa ashachukua hela.. Elewa kwamba nligungua siku ya tatu tangu Ilipopotea nikaenda toa taarifa bank wakaiblock kisha nikaanza mchakato wa police
 
Nlifanya hivyo but tayari alikuwa ashachukua hela.. Elewa kwamba nligungua siku ya tatu tangu Ilipopotea nikaenda toa taarifa bank wakaiblock kisha nikaanza mchakato wa police

Wewe ndio unajua ukweli, kwani wengine tuna mashaka , tunaomba USHAURI wako halisi, ili wenzio tusije kufilisiwa,

Kwa nia Njema tu naomba kukuliza JE UTAENDELEA KUTUMIA ATM CARD (baada ya kupewa nyingine) kwa tahadhari ?
au kwa janga hilo hutegemei tena kutumia ATM CARD wala kuchukua nyingine ? ?
 
Pole Sana Hapa Ni Demu Wako Ndo kakufanyia hivi duu mapensi haya chamani.
 
Ulipoibiwa ATM Card uliripoti bank ili wablock your account?
 
Kumbe thread ya zamani sana
 
Zilipendwa hii.
 
Mada ya zamani ila Nami nachangia ILA UKWELI UTAKUUMA,huu ni uzembe, mtu kuchukua pesa thr ATM lazima awe na PIN, hii PIN ilikua compromised ndio maana mwizi akafanikiwa kuchukua pesa pale atm 🏧, huwezi kutumia atm kama huna PIN
 
Mada ya 2016 raia mnai-update leo 2024 😂
 
Pole Sana, me niliibiwa 40,000 roho mpaka Leo inaniuma, Nayahisi maumivi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…