TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,588
- 18,742
Inawezekena hiyo mobile na laptop abiria hakununua kwa pesa yake. kama alinunua kwa pesa yake basi hivyo vitu thamani yake kwake ni kama kandambili. Sio rahisi kuwa mzembe kiasi hicho.
Na kama alivyosema moa mada 1ja kutotaja jina la basi kunazidi kutia shaka uhakika wa habari yenyewe. Taja jina la kampuni uwasaidie watu.
very true mkuu... si unajua tena "kwa msaada wa watu wa marekani'??? people dont care and custodianship ni zero.... angenunua yeye asingeacha kwenye gari