Wizara ya Nishati & Madini: Kampuni ya Dangote itapewa Kilomita za mraba 9.98 kuchimba Makaa ya Mawe

Massivve

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
274
368
Taarifa kutoka Wizara ya Wizara ya Nishati na Madini kuhusu Kampuni ya Dangote kupewa eneo la kuchimba Makaa ya Mawe mkoani Ruvuma.
IMG_0927.JPG
 
Ameshamegewa kipande chake fasta eehhh ngoja sasa tusubiri kushuhudia migogoro baina ya wananchi na Huyo Boss dangote na kati ya wananchi na serikali yao.

Kwenye hili mi bado sijaelewa hasa lengo la serikali.Dangote amepewa hilo eneo kama muwekezaji kwe sekta ya madini ama?Nadhani tumekurupuka hapa(nipo tayari kurekebishwa)

Nijuavyo Mimi Dangote ni muwekezaji kwe kiwanda CH saruji,kama walivyo Twiga,Tanga cement,Mtwara cement nk...Na wote hao wanahitaji nishati ya umeme kuendesha miradi yao,sasa Serikali inapompa mmoja wao kitalu ajichimbie mwenyewe makaa ya mawe(chanzo cha nishati) haioni kuwa imeshawatangazia waliobaki kiama?
Haioni kuwa imeshaharibu usawa kwe soko,coz hawa ni washindani.

Kumpa Dangote kitalu cha makaa na kumwambia anaweza kuchimba zaidi na kuwauzia wengine,si tumempa na mradi mwingine ambao alipaswa kufuata taratibu zilizowekwa?

Maskini Tanzania yangu
 
wasiwasi wako ni sawa na uamuzi wa serikali ni sawa yaani kutoa upendeleo kwa mwekezaji lakini njia iliyotumika kutoa Huo upendeleo ni njia ya ovyo sana tusubiri matokeo yake.
 
Kama eneo hilo lilikuwa limepewa muwekezaji mwingine(sio dangote) kuchimba makaa, je eneo alilonyanganywa huyo mwekezaji na kupewa dangote,huyo mwekezaji alifidiwa shilingi ngapi? Au tunajiandaa kufunguliwa kesi kwa kuingilia mikataba?

Sera/sheria/taratibu hazifatwi we are pretending to be patriotic .......

Makaa yenyewe asilimia kubwa ni majivu tu
 
Kama eneo hilo lilikuwa limepewa muwekezahi mwingine(sio dangote) kuchimba makaa, je eneo alilonyanganywa huyo mwekezaji na kupewa damgote,huyo mwekezaji alifidiwa shilingi ngapi? Au tunajiandaa kufunguliwa kesi kwa kuingilia mikataba?

Sera/sheria/taratibu hazifatwi we are pretending to be patriotic .......
 
Sasa kila mwekezaji wa cement anatakiwa achimbe mwenyewe na akiweza auze makaa kwa atayetaka! Amri ile safi sanaaa ! Mahakama itafuata hilo na kuamuru wengi wote wapewe same manaa sasa ni zaidi ya uwekezaji!! Kurupuka , safi sana awamu hii faida mara 100
 
tatizo ukiongea ukwel utaitwa mchochezi,nch inamaajab meng sana likiwemo hl la kupewa mfanyabiashara wa sementi eneo la kuchmba madin ya makaa ya mawe il hal ye2 hl jambo halikuwa kipaumbele chake! ukiwa zwazwa utakuwa zwazwa zaid! kwa mtizamo wangu nilifikir aliyeingia mkataba wa uchmbaj haya madn alipaswa kuambiwa uchimbaj uwe mkubwa il aweze kusambaza h malighaf maeneo yenye uhtaj mkubwa kama kwa ndg dangote kuliko haya maamuz ambayo mfalme kayafanya.
 
Sasa kila mwekezaji wa cement anatakiwa achimbe mwenyewe na akiweza auze makaa kwa atayetaka! Amri ile safi sanaaa ! Mahakama itafuata hilo na kuamuru wengi wote wapewe same manaa sasa ni zaidi ya uwekezaji!! Kurupuka , safi sana awamu hii faida mara 100

Ndicho hasa kinatakiwa kufanywa ili kuwa'treat wawekezaji wote kwa usawa,vinginevyo tumejichagulia anguko.
 
Kwenye hili mi bado sijaelewa hasa lengo la serikali.Dangote amepewa hilo eneo kama muwekezaji kwe sekta ya madini ama?Nadhani tumekurupuka hapa(nipo tayari kurekebishwa)

Nijuavyo Mimi Dangote ni muwekezaji kwe kiwanda CH saruji,kama walivyo Twiga,Tanga cement,Mtwara cement nk...Na wote hao wanahitaji nishati ya umeme kuendesha miradi yao,sasa Serikali inapompa mmoja wao kitalu ajichimbie mwenyewe makaa ya mawe(chanzo cha nishati) haioni kuwa imeshawatangazia waliobaki kiama?
Haioni kuwa imeshaharibu usawa kwe soko,coz hawa ni washindani.

Kumpa Dangote kitalu cha makaa na kumwambia anaweza kuchimba zaidi na kuwauzia wengine,si tumempa na mradi mwingine ambao alipaswa kufuata taratibu zilizowekwa?

Maskini Tanzania yangu
Ulitaka upewe ww??
jiulize utakifanyia nn ukipewa??
acha wenye meno wale nyama we kunywa mchuzi tuuuu
 
Kumekucha. Na wazo,tanga , mbeya na wengine waende watapewa. Biblia inasema ombeni nanyi mtapewa. Wanangoja nn tena ?
 
Huu ni Ubashite kabisa mtu katoa mawazo yake wewe una attack personality kama ulitaka aandike mawazo yako ungemwazimisha ubongo wako autumie kutoa mawazo ambayo yangekufurahisha sio kuchangia vitu visivyo na logic hapa.baada ya kuusoma ujumbe wangu kata kipande cha limau weka mdomoni kikupunguzie garika ya moyo.
 
Ametoa mawazo ya kijinga
 
Kumekucha. Na wazo,tanga , mbeya na wengine waende watapewa. Biblia inasema ombeni nanyi mtapewa. Wanangoja nn tena ?

Kama hawakuomba yawezekana mitambo Yao haitumii nishati ya makaa.Dangote kaja na mtambo tofauti na wa kisasa.kwani Twiga na simba cement ni wa leo????? Technologia ya mitambo Yao ni tofauti na Dangote.shida yenu shule zenu ni za Kileo hamjasoma ila mmesomeshwa.tis generation doesn't think broader.poleni, sana ni bora muachane na mitandao mkalime
 
Back
Top Bottom