mzee wa nzegea
Member
- Apr 5, 2014
- 39
- 8
Haja vijana wetu mlioomba nafasi za koplo na constable wa UHAMIAJI, wametoa majina ya waliokidhi vigezo vya usaili jitazame ktk website ya mabo ya ndani
Kila la heri vijana.
Kila la heri vijana.
ebo!? asa unataka tubebe zege huku kitaa mpaka lini...hivi hizi si ndiyo zileeeeeeeeeeee zilizochakachuliwa at first, mbona wameshort list mapema hivyo?
kaka naomba nchekie jina langu naitwa magira k anthony
Namshukuru Mungu amenipigania aksante sana mama uzidi kutulinda tukafanye interview vzuri Siwezi ila Mungu ndo unanifanya niweze
kweli nimeziona , naona hata kajina kangu kapo ndani, shidah ni hio usaili sasa, this time cjui kutakuwa na uchakachuaji kama kawa ama ??? watoto wa wakulima tutapata na sisi ahueni??