Wizara ya Mambo ya ndani iwaangalie hawa graduate kwa jicho la upekee

Huwa nashindwa kuelewa huko vyuoni mlikwenda kusoma nini.

Kuna msomi wa University ambaye hana vyeti vya form four?

Omba kama form four ukipata ajira mengine utajiongeza ukiwa humo humo.
 
Huwa nashindwa kuelewa huko vyuoni mlikwenda kusoma nini.

Kuna msomi wa University ambaye hana vyeti vya form four?

Omba kama form four ukipata ajira mengine utajiongeza ukiwa humo humo.
Anataka atambulike kuwa ana degree, wenzake wanaingia kazini kama madereva baadae wanaenda kufanyiwa recategorization ndani kwa ndani yeye amekomaa na degree yake
 
Najua ni njaa imekupeleka kuandika haya yote, ila ungejua mlivyowasumbufu mkipewa nafasi kisa vi degree vyenu usingethubutu, pole kwa kufika degree bila kazi
Kwenye nchi za mabeberu nilipata kumtembelea rafiki yangu mmoja pale sebuleni kwao na kwenye corridor ndipo zinakaa hizo degree kwenye fremu za picha kama urembo tu na kuonesha family certificates arwaded.

Nimeona ujerumani watoto wao wanaanza kusomea kazi tangu darasa la nne, unachaguwa kazi utakayopenda kuja kufanya unajikita hapo.

Upolisi na uwalimu haipaswi kuwa option ya wakosa ajira ndio sababu unakuta jitu lina mavyeo halijui hata PGO ni nini.
 
Huwa nashindwa kuelewa huko vyuoni mlikwenda kusoma nini.

Kuna msomi wa University ambaye hana vyeti vya form four?

Omba kama form four ukipata ajira mengine utajiongeza ukiwa humo humo.
Hilo ni kosa, ukija kugundulika unaweza pata shida.
Maana kumbuka unaulizwa elimu yako unasema form four na mwisho unasaini kuwa maelezo yote niliyotoa ni sahihi na wao wanakuambia hatua Kali zitachukuliwa kwa wote waliotoa taarifa za uongo, Sasa pata picha wamekuja kujua una degree, aibu yako
 
Sure mkuu
 
Usione wanachohitaji wao ni kuajiriwa tu, ila pale mtakapoajiriwa kwa level ya Diploma wakati mna Degree baadae mnakuja kusumbua kupandishwa madaraja...
Huyu bwana anaweza kujinyonga akikosa ajira, maana amekomaa na ajira akili yake inawaza hapo tu hakuna kingine.
 
Policcm wanataka mtu mwenye division 4 madhara yake tunakua na RPC asiye jua maana ya PGO ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…