Wizara ya fedha kutangaza nafasi 200 za kazi

Tutaomba tu hizo kazi, mi nasubiri za BoT. Nimechoka kuwa mlalahoi na mpiga kelele JF. Time kula matunda ya uhuru.
 
jamani kuna jamaa ametumia shillingi milioni moja kwa makaratasi , picha na nauli katika kutafuta kazi mpaka sasa hajapata
 

Kutakuwa na mistakes somewhere coz ana posts 6 tu, ila kwenye thanks inaonyesha ni posts 4,294,967,295. So nafikiri jamaa watarekebisha.
 
Kama kweli Waziri ni mkweli nashukuru ndugu,jamaa na wadogo ze2 toka vyuoni watapata nafasi but let us take serious precaution bajeti ya 2011/2012 imejaa ahadi hewa kibao na huo ndo ubaya wa politics kwamba unakupa uhakika ukisikia ahadi but in reality haiwezekani, nawasilisha
 
Serikari yetu ni Yakilongo longo saana, NAni Haijui?
Hizo kazi kweli watu wata pata , lakini Je Vegezo unavyo?
Baadhi ni Hivi.
  • Nani anakujua, ( Sio nani unamjua ) Main:
  • Unakujua Mjini?
But Kuna wachache wenye Bahati zao.....!!
 
Kwel wana maanisha 200 au siasa tu? na kweli masikini ndo watako pata au kunawatu maisha andaliwa?

Pamoja na ktangaza hzo ajira lakini bado knatatizo kubwa kwenye upande wa kuajiri:

1: Kwa interview zote kufanyika Dar wakati kunawatu wengine hawana uwezo wa kwenda Dar na hawana hata ndugu Dar je akiitwa kwenye interview atafikia wap?, na atakula wap? nauli anaweza pata lakin bado ni shida kwa masikini.
 
 
1: Kwa interview zote kufanyika Dar wakati kunawatu wengine hawana uwezo wa kwenda Dar na hawana hata ndugu Dar je akiitwa kwenye interview atafikia wap?, na atakula wap? nauli anaweza pata lakin bado ni shida kwa masikini.

Nyie wa Tanzania acheni ujinga, mnataka hata kazi mletewe nyumbani kwenu? Yaani mtu ashindwe kuwekeza pesa ya kujisafirisha na kuishi Dar ili apate kazi? Kwani hata hicho chuo kikuu kipo kila kijiji nchini? aaaghrr ndio maana wakenya wanatucheka sana.
 
Mkuu fikiria tena na tena werevu wa kuweka pesa za kufanyia interview dar na pengine kazi ukapata baada ya 5yrs, pia kumbuka chuo unakopeshwa na bodi
 
Zoezi la kuajiri lilikuwa katika ngazi za halmashauri na manispaa by then ila maafisa utumishi wengi walikuwa wala rushwa wanaotoa nafasi kwa kujuana ndo maana serikali ikachukua dhamana zote iwe inaajiri yenyewe centrally baada ya decentralization kufail inabidi kuwa mpole, over
 
Ndio zile walizosema wanachanganya na za TACAIDS upande wa GF?
 
Ajira unaweza kupata lkn pia Serikali ikaendelea kukukopa mshaala wako, bila sababu za msingi, sijui hazina inakuwa haina pesa!!!!: wako walionza kazi wamekaa takribani miezi minne(4) bila kulipwa chochote ni mwaka sasa wanadai deni lisilolipika(malimbikizo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…