Raisi magufuli ameleta uwazi katika mapato na matumizi ya serikali, ni vyema taasisi zote za serikali , halmashauri, wizara, vyama vya siasa, vyuo vikuu nk wakaiga mfano kwa kupenda wenyewe au kwa amri ya mkuu wa nchi , kumekuwa na fununu za matumizi mabaya ya pesa za uma, ili kuleta uwajibikaji ni vyema taasisi , wizara na wakala wakafuata mkondo huu kabla hawajatumbuliwa na wao