MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 615
UpoHivi Siku hizi bado kunamchujo kwakidato cha pili!!???
2008 ndo unaingia form 3?Mwaka 2008 nilikua naingia 4m3 ,tokeo la 4m2 lilikuja mwezi February toka kipindi icho sijawahi ona tokeo la 4m2 lilitoka before shule kufumgua or week ya awali
Nadhani ni mapema mno kulaumu japo una mantiki
Kitu kama2008 ndo unaingia form 3?
Haya bwa'mdogo
Mwaka 2008 nilikua naingia 4m3 ,tokeo la 4m2 lilikuja mwezi February toka kipindi icho sijawahi ona tokeo la 4m2 lilitoka before shule kufumgua or week ya awali
Nadhani ni mapema mno kulaumu japo una mantiki
Kawapotoshe form two wenzio msio na uhakika wa kufaulu....Hakuna waraka hadi sasa wa kuelekeza hayo kwahyo kama usipofikisha wastani KWAHERI....kama ulikuwa umekariri mwaka Jana na utafeli tens basi KWAHERI...Mchujo hakuna,ule unaitwa assesment sio examination,yaani form two national assesment,kwa hiyo hakuna mchujo,wafeli wafaulu,wote watakwenda form three.
Heh,Kitu kama
haupo!
ndo maana wanakuwa wabishi kujibizana na babu zaoduh kumbe sometimes tunajibizana na wajukuu umu
labda shule za missionKawapotoshe form two wenzio msio na uhakika wa kufaulu....Hakuna waraka hadi sasa wa kuelekeza hayo kwahyo kama usipofikisha wastani KWAHERI....kama ulikuwa umekariri mwaka Jana na utafeli tens basi KWAHERI...
Hiyo ndo taarifa rasmi nyingine ni blah blah.
.na serikali haifanyi kazi kwa mdomo bila nyaraka
Hakuna cha kupotosha wala nini mkuu yuko sahihi ile ilikua national assessment hvo watakaopata below the average watasoma remedial class huku wakiwa wanaendelea na kidato cha 3. National examination ni Form 4&6 huko ndo watachujwa.Kawapotoshe form two wenzio msio na uhakika wa kufaulu....Hakuna waraka hadi sasa wa kuelekeza hayo kwahyo kama usipofikisha wastani KWAHERI....kama ulikuwa umekariri mwaka Jana na utafeli tens basi KWAHERI...
Hiyo ndo taarifa rasmi nyingine ni blah blah.
.na serikali haifanyi kazi kwa mdomo bila nyaraka
Kwa waraka upi na remedial classes anayelipa hizo gharama ni nani serikali kupitia wizara ya elimu haijaelekeza hivyo....Hakuna cha kupotosha wala nini mkuu yuko sahihi ile ilikua national assessment hvo watakaopata below the average watasoma remedial class huku wakiwa wanaendelea na kidato cha 3. National examination ni Form 4&6 huko ndo watachujwa.