MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ukweli hii wizara imejaa ubabaishaji mwingi shule zimefunguliwa lakini matokeo ya kidato cha pili hayajatoka sijui hawa wanafunzi wanaingia kidato cha tatu bila kujua matokeo yao huu ni ubabaishaji na kuchezea elimu yetu.