Hii BRN yenyewe haijapangiwa fungu, hivo basi kuna mambo mengine yanahitaji fungu la fedha lakini inashindikana, mitihani iliyoandaliwa mwaka jana kama utekelezaji wa BRN haikuwa na ubora, ilikuwa na mapungufu kibao, mfano hesabu za kirumi kwa drs la tano wanatakiwa kujua mpaka mia moja [c], cha kushangaza waliambiwa waandike elfu moja na mianane kwa kirumi, je mitihani inaandaliwa kwa kufuata mitaala ya nchi yetu ama nchi nyingine, hakika kwa machache niliyoyaona hili ni anguko la BRN. huu mchango nilioutoa ni mimi ni mdau wa elimu.