Maafisa wa pale wote ni mguu ndani mguu nje? Kama wafanyakazi ndio wanaokuangusha kwa nini usiwafukuze? Kwa nini usiajiri wengine mbadala? Au wewe umeridhika kabisa na utendaji wa wizara yako?? Watanzania wanataKa majibu, lasivyo ni bora tu uachie ngazi