Wizara ya afya tafuteni na lingine...

Wizara ya afya tafuteni na lingine...

mbabeh

Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
10
Reaction score
5
Hivi ugonjwa wa dengue umeishia wapi???ni kweli uliletwa na wizara kwa manufaa ya watu wachache?au ni kweli panadol zilikua nyingi wakataka mzigo uishe fasta...kweli nimeamini bongo watu wasanii...!!!
 
Waulize wagonjwa waliopona au ndugu wa waliokufa kwa dengue!
 
Back
Top Bottom