Ujinga wangu ni upi mkuu,. Au kuleta taarifa?
ndio wewe ni mjinga why unaleta propaganda za ccm kuiba hela na kuwasahaulisha watu mambo muhmu, ufisadi bo+ewura +2 au 3
Ujinga wangu ni upi mkuu,. Au kuleta taarifa?
ndio wewe ni mjinga why unaleta propaganda za ccm kuiba hela na kuwasahaulisha watu mambo muhmu, ufisadi bo+ewura +2 au 3
Ujinga wangu ni upi mkuu,. Au kuleta taarifa?
Hakuna dengue wala ndugu yake dengue. Hizi ni mbinu tu za magamba za kutaka kuchota mabilioni ya pesa chini ya mwavuli wa dengue. Ccm kuweni na huruma na wananchi.
hii si taarifa ni uzushi
acha ujinga hakuna ugonjwa wa dengue
hizo sampuli zimetoka maeneo gani?KCMC ni referal hospital!
Ugonjwa huu ulitanganzwa kwa namna ya pekee,hasa viongozi wetu wa serikali na baadhi ya Madaktari wetu. Na tulisikia kuwa uliua Watanzania wenzetu. Swali langu,huu ugonjwa umeishia wapi?.
Kwa nini hawajatuambia dawa waliotumia kuutokomeza maana tunashukuru kama wameutokomeza kabisa. Wasipotuambia tunaibua maswali mengi mojawapo ni au lilikuwa ni dili tu. Maana kuna semina nyingi yawezekana zilifanywa na wizara ya afya. Na inawezekana kabisa serikali ilitoa fungu kubwa. Je, hizo pesa zilienda wapi kama fungu lilitoka?
Kwa hiyo masika tu yakianza tutegemee dengue?, mbona masika yapo miaka yote ya nyuma na dengue hatujaiona,au malaria kali ndo dengue maana wasije kuwa walituchanganya tu.Dengue ni ugonjwa wa msimu subiri masika ijayo.