B belladona Member Aug 6, 2015 36 6 Jan 4, 2016 #21 Hilo la bima ni tatizo,ukienda hosp km una bima utazungushwa na dawa usipate ukienda duka la dawa wanasema dawa nyingine hazipo kwenye bima.swali langu ni kwamba kwa nn hela inakatwa bila kujadili hlf matibabu usumbufu?
Hilo la bima ni tatizo,ukienda hosp km una bima utazungushwa na dawa usipate ukienda duka la dawa wanasema dawa nyingine hazipo kwenye bima.swali langu ni kwamba kwa nn hela inakatwa bila kujadili hlf matibabu usumbufu?