Wizara Ya Afya Mnatudanganya!

Wizara Ya Afya Mnatudanganya!

Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
10,703
Reaction score
11,812
Breaking News. Kijiji kimoja nchi Tanzania Kimeshinda vita dhidi ya Malaria, hebu tumskilize ripota wetu.

Ndugu watazamaji .................................. "Mbu mmoja tu anatosha kuwaambukiza malaria na wao kuwaambukiza wenzao"

Shida ndo ipo hapo kwa huyo source; Je mtu akiambukizwa malaria na yeye anaweza kuwaambukiza wenzake? Hili tangazo halifikishi ujumbe uliokusudiwa, linapotosha kabisa. Mbadilishe, vinginevyo mtufafanulie mnachomaanisha hapa.
 
Back
Top Bottom