Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto haijatangaza ajira zozote mpya

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
1,419
804
WIZARA YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII www.Hsw@gmail.go.tz

YAH : KUTOKA KWA AJIRA.

Wizara ya afya na maendeleo ya jamii inapenda kukujulisha kuwa ajira kwa sekta ya afya 'wahuguzi,Matabibu, wa kemia wa mahabara" na kada nyngne Zmeshatoka tayar,Ifikapo tarehe 25/01/2017 kila muajiriwa atatumiwa barua ya uajiri kupitia anuani ya barua pepe aliyoiandika. muajiriwa atapewa wiki mbili za kujiandaa kuelekea kituo chake cha kazi atakachopangiwa.
Ifikapo tarehe 13/02/ 2017 anatakiwa awe amesha ripot kituoni kwake

Waziri wa afya na maendeleo ya jamii.
Dr. Ummy mwalim

KANUSHO LA TANGAZO HILO JUU

Hadi sasa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto haijatangaza ajira zozote mpya

Wizara inayo utaratibu wa kutangaza ajira Mara baada ya kibali toka Utumishi wa Umma

Tangazo hili si la kweli kwani taarifa hii imejaa makosa mengi ya uandishi wa maneno na fani zilizotangazwa,

Aidha,Cheo za Waziri kwamba ni daktari ni upotoshaji

Imetolewa na;
Kitengo cha Mawadiliano Serikalini
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto-Afya
23/1/2017

HII NDIO OFFICIAL PAGE YA FACEBOOK YA WIZARA YA AFYA YENYE TANGAZO HILO. HIVI KWELI HAWA WATU NI WEMA KWELI, TENA KWA UKANUSHO WA AINA HII.
 
wangekaa kimya tu haina haja ya kukanusha, karibu mwaka 2016 wote ulikuwa ni makanusho tu.
 
Hizi wizara siku hizi kazi yao kubwa ni kukanusha tu ama wana kazi nyingine?

Back
Top Bottom