Nimekuelewa sana mkuuHuwezi kusema mimi ni mwanaume wakati huo huo ni mwanamke
Lazima uchague moja kusuka au kunyoa...
Wewe Kigwangala acha kujipigia debe hapa! Nyinyi wote ni wale wale tu. Hamna jipya lolote!Nimeona mtandaoni namna ambavyo waziri wa afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe...
Shida ni kuwa hamjaelewa kitu kimoja ni kweli kuwa nchi za wazungu wanatoa mapesa mengi hasa kwa nchi kama Tanzania ili kupambana na janga la corona.....na mojawapo ya malengo ya pesa hizo ni utoaji wa elimu kwa jamii inayohusu kujikinga na mambo mengine kama chanjo....SHIDA NI KUWA HIZO PESA ZINAPIGWA NA WAJANJA WANAZITUMIA KWENYE MAMBO YAO NA KINACHOFANYIKA KWA SASA NI USANII TU...
Safari ni ndefu na kazi inaendeleaNa hizo pesa wanazotoa wanakupenda saana au wanaipenda nchi yako saana tu kwa mazuri ikiwa huko huko nchi za kwao na wao wana majanga tena makubwa?
Naona kama amebebeshwa mzigo mzito sanaHuyu mama hafai kushika wizara nyeti Kama hiyo,akiimaliza hii awamu akiwa waziri wa afya ashukuru Mungu,sioni future nzuri kwa huyu mama tangu enzi za Magufuli,asipobadilika huyu mama ataishia pabaya.
Huyu mama naona Kama hawaendani na mama Samia,
Hapo wamesha test mitambo au wanajiandaa wakaitest? Yaani nchi hii raha sana.Acha wivu, muache Dorothy atakeleze majukumu yakeView attachment 1897872
Dr. Z.Chaula will fit for the post.Nimeona mtandaoni namna ambavyo Waziri wa Afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za Askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe.
Zaidi ya mipasho hakukua na majibu ya moja kwa moja ya kuwashawishi wananchi wakapatiwe chanjo ya UVIKO_19. Kwamaelezo ya waziri inaonekana wizara imeshashindwa kutoa elimu ya ushawishi kwa wale ambao hawajaona umuhimu wa kuchanjwa kwa sababu mbalimbali.
Waziri wa afya ameshindwa kushambulia hoja badala yake anashambulia mtoa hoja,hii ni aibu kwa chama na serikali. Anachofanya nikuliomba jeshi la polisi na TAKUKURU wamuwajibishe askofu Gwajima. Kwa maelezo ya Dorothy Gwajima,wenye mashaka juu ya chanjo hawajapata ushawishi bado.
Bora Joti, Masanja, Mkojani, Waigizaji wa Futuhi na Mizengwe wangepewa kazi ya kutoa elimu na waziri huyo akaambiwa asiseme chochote kuhusu UVIKO_19.
Mh. Rais tafuta mtu mweledi ambaye anaelewa dhamira yako ya kufanya uruhusu chanjo. Huyu Dorothy inawezekana anaelewa dhamira yako bali hawezi kutuelewesha hicho alichoelewa kutoka kwako. Hapa kwa mbaaaaaali namuona Kigwangala akipanda chati
Mh. Rais tafuta waziri wa afya anayeweza kujibu maswali ya wanaopinga chanjo huyo aliyepo anazidi kukuhujumu na yupo kimipasho zaidi.