Wiz mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wiz mtupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mjombo's, Dec 5, 2011.

 1. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Serikali kuenzi miaka 50 ya uhuru mwaka huu ni wiz mtupu kwa sababu pesa zilizotumika na zinzozidi tumika juu ya kumbukumbu hizi ni kufulu, can imagine km wizara moja na idara zake kuazimisha miaka hamsin ya uhuru plus wizara zote tulizo nazo ni bilion ngapi mpaka kufika dec 9, zitakuwa zimetumika.
  nadhani shere ya dec 9, ilikuwa inatosha kwa nchi maskini km hii kusherehekea miaka50 ya uhuru na kuokoa kiasi kikubwa tu cha fedha ambacho kingeweza kutumika kuongeza nafasi za ajira kwa wasomi na vijana wetu wote kwa ujumla kwa kufanya uweekezaji mzuri katika mali asili zetu zilizopo lakin kinacho onekana ni kwamba sherehe hii inatumika km mradi wa wizara zetu na serikali kwa ujumla wa kujivunia pesa undercover ya 50yrs of independency.
  serikali inatokiwa ifanye mipango ambayo ni costructive in a long run for the betterment of our economy.
  nawasilisha
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wapumbaf sana hawa jumlisha na huo mwenge wao wanaoukimbiza.....vyote hivi ni hasara kwa taifa
   
Loading...