Pichani juu ni kijana Walter Kipkoech (23)raia wa Kenya ambaye amemuua kwa kumtenganisha kichwa na kiwiliwili binti huyo Joyce Wangui(18) mwanafunzi wa kidato cha nne ambaye alikua mpenzi wake kisha kutumia damu yake kuandika ujumbe wa onyo kali
Chanzo cha mauaji hayo kinatajwa kuwa wivu wa mapenzi ambapo Walter amedai alikua akimgharamia Joyce mahitaji mbalimbali ya shule ila hatimaye akaja kumgeuka na kuanza mahusiano ya kimapenzi na wanaume wengine huku akimjibu majibu ya dharau na kejeli
Walter anadai alishamgharamia sana Joyce mpaka kwa kutumia hela ya kiwanja chake cha urithi lakini Joyce alikuja kumgeuka na kuanza kumjibu majibu ya dhihaka na matusi
Katika sms walizokuwa wakichati siku za mwisho kabla ya tukio la mauaji zilionesha majibizano makali huku Walter akimuonya Joyce kwamba "ASIMLAUMU KWA KITAKACHOKUJA KUTOKEA". Joyce alionekana kumjibu kwa dharau kwamba ashukuru hata kwa mapenzi aliyompa mara kadhaa (shoo) kwakuwa hakustahili hajui hata kuoga
Siku ya tukio Walter alimvizia Joyce akiwa mwenyewe nyumbani kwao(ambapo alikua anaishi na familia ya kaka yake) kisha akaenda na panga ambapo aliingia ndani na kumchinja (akatenganisha kichwa na kiwiliwili) kisha akatumia damu ya Joyce kuandika sakafuni "I love you so much Joyce but never Cheat" akimaanisha "Nakupenda sana Joyce ila kamwe usinisaliti"
View attachment 3686862