Copy we need air support overMan down. I repeat man down. Alpha, do you copy?
Mshika mawili moja humponyokaMiaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa
sierra, copy that. touch down soon🚁Man down. I repeat man down. Alpha, do you copy?
Ah ah yani tunazinguwa kinoma Mkuu ameomba ushauri sisi tunafanya masihara [emoji1787][emoji1787]sierra, copy that. touch down soon[emoji576]
Ushauri wa kibabe huu, ukisababisha tatizo lifanye liwe tatizo kubwa kabisa.Muoe huyo mmama kama Imani yako inakuruhusu, ingawa wewe hapo unachofuata kwa jimama ni mtonyoo...
Muoe mke wa pili mbona simpleMiaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa
Yupo vitani lazima tumwokoe mkuu wetuAh ah yani tunazinguwa kinoma Mkuu ameomba ushauri sisi tunafanya masihara [emoji1787][emoji1787]
Sema jamaa amejipalia makaa ya mawe eti anamuonea huruma mchepuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yupo vitani lazima tumwokoe mkuu wetu
Sema jamaa amejipalia makaa ya mawe eti anamuonea huruma mchepuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekupata MkuukirokaUsimuonee huruma Mwanamke
Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi. Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya...www.jamiiforums.com