Wivu unavyoshusha hadhi mbele ya mpenzi wako

Wivu unavyoshusha hadhi mbele ya mpenzi wako

Mimi sihigi wivu hata kidogo hata ukija naniii ikiwa nyekunduuuuu

ninahisi una homa tu wala si kingine
 
wivu unakuwepo hata ukijificha vipi,kama kweli unampenda wivu hautengenezwi,kuna wengine wana jikaza eti ooh mie sina wivu lakini ukimpata khasa anekuna moyo wako huna ujanja..............
 
Umeona eeh!!! Umpende mtu halafu usiwe na wivu naye!!!! Wivu ukizidi sana unaweza kuharibu penzi lakini ukikosekana pia unaleta shaka ndani ya penzi.




Hujapenda...!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom