Wivu umeniponza

Hapo sio wivu bali ni nguvu ya fedha kutawala mahusiano yenu.

Saw unampenda ila hata kam ukiamua kurudiana naye sahiz kam huna hela n kaz pole. Mwanamke anayekupendea pesa n hatar san kw mapenz. Unavyompend mtu hutakiw kumuonyeshia mtu huyo hal y ukwasi ulionao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusoma haujui hata picha hauoni lol? Haupendwi hapo anachopendea ni hela zako.........sasa endelea kulazimisha uone siku utakavoachwa vibaya kama haujarudi hapa na mrejesho
yani huyo bi dada wako ni singo mother,?
 
Mkuu naomba nikuforwardie mradi wangu mdogo tu unisaidie fund. Tafadhali.
 
Ukiona umetendwa, jua kuna mjinga kapendwa..pole Chief
 
Pamoja na wewe kuwa na wivu uliopitiliza inahitaji moyo sana kuwa na mrembo mwenye kauli za kuudhi kiasi hicho. Hongera kwa kuzivumilia kauli za kuudhi kwa muda wote huo.

 

Baada ya kuumizwa na wadada kama watatu hivi kabla ya ndoa moyo wangu uliota sugu,wakati mwingine huwa namuonea huruma mke wangu kwani kaolewa na jiwe,sometimes najihisi sina hisia na mtu.sasa mkuu huko ndo wewe unakoelekea.baada ya kupita kwenye hili tanuru ukitoka hapo hakuna kiumbe cha kike kitakachokubabaisha.

kuishi utaishi tu na maisha yataendelea bila yeye,kinachokushinda ni unaanzaje kuanza maisha peke yako.Sioni kama ukimpenda kwa dhati huyu dada wala nini,ni kwamba tu unahisi utamu wa ajabu unapokula papuchi yake sasa unakuwa muoga ukimuacha utapata wapi kama hiyo.

You will soon grow up.
 
Nenda kapime VVU,ukitoka hapo elekea ANGAZA,
Ova

thA God thA bubbs!!
 
YANI WEWE NI BONGE LA ZOBA

UTAKUWA MWANAUME WA DSM.

HUYO MWANAMKE HAJAWAH KUKUPENDA NA WALA HAKUPENDI.

PILI HUYO MWANAMKE HAJIELEWI, HANA STAHA NA WALA AKILI HANA.

NAKUSHAURI KAA MBALI NAYE KM 1..
 
We ni aiseeee nimekosa tusi jipya tu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 

KWANI SHULE MMESHAFUNGA?!

TUANZIE HAPO!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…