Wivu ni kidonda

Housegirl hatongozwi dogo ww unavamia tu unapiga ngwala unaruka nae.
 
Sijawahi kuwa houseboy, ni kweli mimi ni HB nalifaham hilo pia mabinti kunitaka ni kama kawa tatizo mazingira ya league1 ni magumu hapa hom

Nani alikuambia wewe ni handsome?
1. Kioo unachojiangalizia
2 Dada zako?
3. Vijana wenzako wa kiume.

No.1 na 2 inawezekana ikawa si kweli.... ili upate faraja.
No. 3 inawezekana ikawa kweli.... Kuwa makini. Ogopa sana kujione uko handsome, kuna wanaume marijali humu. Usije ukasema sikukuonya
 
nakushauri kama umeshaongea nae nenda chumbani kwake chomoa ufunguo, usiku wazazi wakishalala wewe nyata taratibu hadi chumba cha beki3 mlango utakuwa haujafungwa na utajilia vyako taratibu, huyo jirani asikusumbue wakati mtoto anaishi kwenu!
nb: usisahau shule.
 

Mbona hata mimi rijali. Issue inasimama balaa
 

Analala na mabinti washule chumbani kwake mkuu kayaman
 
Last edited by a moderator:
Hata wakaka walikuwa wanakupenda pia...si ndiyo!???

Msikitini na makanisani tunafunzwa kupendana. Wananipenda na mimi nawapenda pia ila ukija kwenye mapenzi nawapenda wadada wanono wenye michirizi ya miguu mimi hoi Mentor
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…