Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,735
kwahiyo bado hujakatongoza
Sa sii uwaulize kujitesa kwa nn
Kuuliza kabla sijagegeda mkuu? Nitakataliwa aisee
Uwe unatoroka shule asubuhi kabla jirani yenu hajarudi.
Usisahau tu kinga, dogo. Si unajua kinga ni nini?
Nyie ndo mnao waharibia mahousegirls maisha Yao namuonea huruma maana hapo mimba ndii kwao kijijin analetwa mwingine dah
Good. Unajua inapakwa wapi, na muda gani?Nafaham mkuu. Kinga inazuia STDs na mimba.
Good. Unajua inapakwa wapi, na muda gani?
Jamani kuna msemo unasema kwamba "wivu ni kidonda ukishiliki ugua pole"
Mimi ni mtoto wa familia nimejionea huu msemo ni kweli baada ya kukatamani kabinti ka kazi (housemaid) na kananikubali ila tatizo nahisi pia kanachukuliwa na jirani yetu.
Huyu jirani akitoka kazini bila aibu anajipendekeza na binti anatoka (sijui huwa anaenda wapi) basi mimi ndio naanza kuugulia na maumivu ya moyo. Jamani wivu mbaya acheni kabisa wivu.
Mbona unacheka tena?Ha ha ha ha 😊