wivu mbaya sana!!



Kama kweli wanaume wanafaidi abadili jinsia aone sakata lake,matatizo matupu.
 
Wanaume tunafaidi kwa kweli
 
na yeye si amebarikiwa kupata titi la mchina?
 
Sio wivu, ana admire kuwa wanaume wanafaidi sana
Ama kweli nyani haoni la kwake ina ukweli mtupu, yaani yeye anaona sufuria la nyama la mwenzake wakati hata yeye analo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…