Wivu katika mapenzi unasababishwa na nini?

upendo wa dhati ndiyo chanzo, sababu sidhani kam kuna mtu anataka kuona kitu chake anachokithamini na kukipenda kikichezewa au kuharibiwa
 
love is selfish naturally tu yn, km unampenda mtu unakuwa unamtaka just to yourself. hata km unamwamini ila kna moments tu akimpa mtu mwngn attention au k2 km hcho unakuwa na wivu ila issue ni kumoderate huo wivu ukizidi inakuwa kero
 
Wivu ni aina mojawapo ya insecurity inayotokana na kuwepo na hisia kali za mapenzi juu ya mtu mwingine au kitu fulani ambacho unacho na umekizoea katika maisha yako ya kila siku.

Hali ya wivu wa mapenzi hujitokeza automatically pale tu unapoona mazingira yeyote yatakoyopelekea wewe kumkosa/kumpoteza mpenzi wako hasa kwa vile unampenda mno na unaemuona ni mtu potential katika maisha yako. Its a form of selfishness ila hii huwa ni kwa nia nzuri.

Sidhani kama kuna mtu humu atafurahia kuona mpenzi wake anagawa namba hovyo mitandaoni na anachat na midume mingine full time mixa kutumiana picha ilihali yeye yupo hapo hapo, au mnatembea halafu anasalimiana na kuchangamkia wanaume ovyo ovyo huko barabarani bila kuheshimu uwepo wako. Halafu we utulie tu ilihali unampenda kwa dhati na anachofanya kitarahisisha wewe kupokonywa penzi lake! Lazma utakuwa na wivu tu otherwise huyo mtu humpendi kwa moyo wote na hujali kumpoteza!
 
Ni zaidi ya kukuelewa...sante
 
Habari JF,

Huwa nashindwa kuelewa kabisa pale ambapo a man anakuwa na wivu like hataki uchat na other males friends, Mara anauliza unavaa hivyo ili huko njiani utakwe au yani visa visa tu vya wivu ambavyo hupelekea yeye (mwanaume) ku get mad same applies to other women (wenye wivu)
Is it kusaabu anavyokugharamikia ndo kinamchoma au?

Au ni vile tu selfishness?

Au basi tu aonekane anajali?

Mapenzi ya kweli au?

Nimeshindwa kupata jibu, embu tujadiliane.

NB: Sijasema hizo ni tabia za my man NAH...[HASHTAG]#najihami[/HASHTAG]

Vichambo vinaruhusiwa.

Nimezoea neno 'kusaabu" sihitaji kurekebishwa kune hilo[emoji41] and yes "kune" pia nimezoea but its kwenye ikr [emoji41]

Haya twende kazi.
Mmm ningechangia lakini nimesoma jina lako nikasisimka[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom