Wivu katika mapenzi unasababishwa na nini?

Wivu katika mapenzi unasababishwa na nini?

ujue hyo mambo sio kitu cha kushea nayeyote . Utambue utaratibu ni mke mmoja na mme mmoja. mambo mengne ni ushetani tu unatawala . Alfu kwann uwe unachat nahao males kama sio kuanza kichepuko[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Habari JF...hua nashindwa kuelewa kabisa pale ambapo a man anakua na wivu like hataki uchat na other males friends....mara anauliza unavaa hivo ili huko njiani utakwe au...yani visa visa tu vya wivu ambavyo hupelekea yeye(mwanaume) ku get mad...same applies to other women...(wenye wivu)
Is it kusaabu anavyokugharamikia ndo kinamchoma au???
Au ni vile tu selfishness???
Au basi tu aonekane anajali??
Mapenzi ya kweli au???
Nmeshindwa kupata jibu...em tujadiliane....

NB:sijasema hizo ni tabia za my man NAH...[HASHTAG]#najihami[/HASHTAG]
Vichambo vinaruhusiwa...
Nimezoea neno 'kusaabu" sihitaji kurekebishwa kune hilo[emoji41] ...and yes "kune" pia nimezoea but its kwenye ikr[emoji41]

Haya twende kazi....
bila wivu hakuna mapenzi
 
Maumivu ya moyo hayapoi kwa ganzi.....

Hayo mambo ya mahaba na mapenzi....uwe tu una hadithiwa....lakini omba Mungu usiwe staring wa filamu hiyo.....!!
 
Nilisha wahi penda Mnyamwezi tuko shule sasa nikawa simuulizi chochote maana kabla nilijua ni MTU wa kuongea na Me tu sasa mi sikuwa na Wivu ila Cha Ajabu aliuliza inamama We huna Wivu? Najua ni tabia yako Sasa ,Tatizo wengine Kuna katabia huficha kabla so siku zikishaenda Tabia zinaanza ,,Mpya So Wivu ni Nature Maana hii Naona Mpaka Kwa Mifugo. Leo Human being
 
Mmm...ila inaweza pia mtu akajifanya ana wivu kumbe hamna kitu...
Huwezi kuuigiza wivu kwa muda mrefu.utapotezea tu na hapo ndo unajulikana ni msanii, wivu unatokea tu na unaumia kweli sio kwa kuigiza tena wivu wa kweli haufichiki
 
Back
Top Bottom