kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Nimekuwa nikijadiliana na wanaume wenzangu as well marafiki zangu wa jinsia ya kike kuhusu Wivu.
Katika matokeo nikabaini mambo mawili. La kwanza, wanawake wengi wao wanaamini mwanaume akiwa na wivu naye ndio ishira inayo mthibitishia kwamba anapendwa kiu kweli kweli.
Pili, Wivu ndio kipimo cha kutenganisha balance ya kupendwa sana na kupendwa kiasi. Katika mahusiano, mtu atakaye kuwa na wivu sana kwa mwenzake ndiye anaonekana anampenda zaidi mwenzake.
@kwamtoro nawaambia, mpenzi anapokuwa hana wivu si ndio kutokuwepo kwa penzi la kweli. Wivu matokeo yake ni hasira mwisho wa yote inampelekea mpenzi kumuumiza mpenzi wake.