Wito: Saed Kubenea rudi Chadema haraka

Chama ni watu
Kwanini mjikombe kwa wasaliti ilhali kuna vijana machachali damu changa wasio na tamaa.?!
Chama kijikite ku recruit vijana wajengwe na kupikwa vizuri kwa matumizi ya baadae.

Hao akina Kubenea & the like, ni wachumia tumbo tu zaidi ya kujineemesha wao na familia zao kwa uroho wa madaraka.
 
Hiyo ndio shida yenu Chadema kulamba matapishi. Mtu kajiondokea mnambembeleza arudi..!!

Warudisheni wote basi ili wananchi waache kuwaunga mkono vizuri..!!
Kuna kitu hujui
 
Kuna jambo hulifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…