Achaneni na wasaliti. Tafuteni nguvu mpya. Gen Z ndiyo habari ya dunia kwa sasa. Hao wachumia tumbo hawafai kwa kujenga Chama imara chenye watu jasiri, wasiokubali kuyumbishwa hata katika mazingira magumu