Kuetekeleza Agizo la Mh Waziri Mkuu kwa vitendo kama mwananchi wa kawaida namuomba Waziri na Katibu Mkuu mwenye mamlaka azifutilie mbali posho za Nyumba, Umeme, Simu na Maji kwa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara katika Wizara, Mikoa na Halmashauri.
Kwa ufupi Posho hizi zilizobatizwa jina la Utility zinaweka tabaka baina ya watumishi wa Umma, inasikitisha na Kushangaza Wakuu wa Idara na Viongozi mbalimbali wa Kisiasa ambao wengi wao mishahara yao inaanzia 3,700,000/= hadi 5,500,000/= kulipwa tena posho za nyumba, umeme, maji na simu ilihali mishahara yao ni mikubwa na inajitosheleza.
Posho ambazo viongozi hawa hupata kila mwezi kwa ajili ya nyumba, umeme, maji na simu ni Tsh 975,000/= ambapo posho tu wanayopokea inazidi mshahara wa afisa wa kawaida mwenye degree anayelipwa TSH 710,000/= kwa mwezi hapo hujaweka makato ya kodi, bima ya afya na mifuko ya jamii.
Mh Waziri Mkuu kama tunataka kuleta usawa katika watumishi wa umma anza nahii posho ya 975,000/= ambayo hata Mh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ndugu hapi analamba kila mwezi nje ya mshahara wake.
kiongozi hapa kuna hoja ya msingi, huwezi kusema watu wana mawazo ya kimasikini wakati hao wakubwa wanagharamiwa fedha na hawa hawa masikini ili waishi hayo maisha unayoyaona ni ya kitajiri huu ni unyonyaji. Wangekuwa wanatoa fedha zao mfukoni kujigharamia hakuna ambaye angepiga kelele.Mawazo ya kimasikini yanazidi kushamiri awamu hii, nadhani ni kwa vile rais anaupenda umasikini na kuupigia debe na kudai yeye ni rais wa masikini na anawapenda masikini basi kila mtu anadhani umasikini ni sifa na anataka awe masikini.
Watu masikini wana wivu sana hawataki kuona mtu anafaidi,wao wanataka kila mtu awe kama wao,wakisikia flani anafaidi hivi roho inawauma sana.
Haya ya kutaka sijui nini kuondolewe,itafika hatua mtataka hata rais asiishi ikulu na aaipewe ulinzi maana ni gharama.
Heri uwe masikini lakini uwe na mawazo ya kitajiri kama mimi kuliko kua masikini na mawazo ya kimasikini kama mtoa mada, mawazo ya kimasikini ni mabaya sana.
Hii inatokana na rais kupandikiza mawazo ya kimasikini kwa watu na kuona kila aliefanikiwa ni fisadi au kila anaeishi vizuri ni mwizi. Hii nchi bwana.
Kuetekeleza Agizo la Mh Waziri Mkuu kwa vitendo kama mwananchi wa kawaida namuomba Waziri na Katibu Mkuu mwenye mamlaka azifutilie mbali posho za Nyumba, Umeme, Simu na Maji kwa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara katika Wizara, Mikoa na Halmashauri.
Kwa ufupi Posho hizi zilizobatizwa jina la Utility zinaweka tabaka baina ya watumishi wa Umma, inasikitisha na Kushangaza Wakuu wa Idara na Viongozi mbalimbali wa Kisiasa ambao wengi wao mishahara yao inaanzia 3,700,000/= hadi 5,500,000/= kulipwa tena posho za nyumba, umeme, maji na simu ilihali mishahara yao ni mikubwa na inajitosheleza.
Posho ambazo viongozi hawa hupata kila mwezi kwa ajili ya nyumba, umeme, maji na simu ni Tsh 975,000/= ambapo posho tu wanayopokea inazidi mshahara wa afisa wa kawaida mwenye degree anayelipwa TSH 710,000/= kwa mwezi hapo hujaweka makato ya kodi, bima ya afya na mifuko ya jamii.
Mh Waziri Mkuu kama tunataka kuleta usawa katika watumishi wa umma anza nahii posho ya 975,000/= ambayo hata Mh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ndugu hapi analamba kila mwezi nje ya mshahara wake.
Watu hao hawalipwi hayo kwa hisani, wanalipwa hayo kutokana na kazi na hatari zinazoambatana na hiyo kazi.kiongozi hapa kuna hoja ya msingi, huwezi kusema watu wana mawazo ya kimasikini wakati hao wakubwa wanagharamiwa fedha na hawa hawa masikini ili waishi hayo maisha unayoyaona ni ya kitajiri huu ni unyonyaji. Wangekuwa wanatoa fedha zao mfukoni kujigharamia hakuna ambaye angepiga kelele.