Wito Ndugu zangu kuweni makini na hii kampuni ya kitapeli DEREVO OIL &GAS EXPLORATION

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hii kampuni inajifanya ni kampuni ya uchimbaji mafuta wako nje"Wanajifanya kusajiri watu katika kampuni yao then wanakuomba pesa sasa tunaomba TCRA waitazame hii namba ya tigo imesajiliwa na nani pamoja na hiyo website mimi naenda kufungua kesi polisi wakitaka hata mawasiliano yangu na wao ya email wakiomba nisiseme kwa serikali wala viongozi wa kisiasa kwani kampuni ni ngeni!!walivyo matapeli.

DEREVO OIL AND GAS EXPLORATION COMPANY
CARRES SANT CARLOS, 9,
BARCELONA, SPAIN
EMAIL: Info@derevooilandgascorp.com

TEL: Home - Derevo Oil & Gas Exploration

REF: "DEREVO OIL AND GAS" DIRECT RECRUITMENT OFFER.



YOU ARE BY THIS EMAIL DIRECTED TO MAKE PAYMENT USING YOUR PERSONAL NUMBER TO MAKE MOBILE MONEY TRANSFER OF THE

REFUNDABLE SECURITY DEPOSIT OF 548,269.66 TZS IN OUR OFFICIAL TIGO TANZANIA NUMBER WHICH IS 0658024591.



AS SOON AS TRANSFER IS MADE,YOU ARE ADVISED TO IMMEDIATELY SEND THE MOBILE NUMBER AND REGISTRATION NAME WITH WHICH

YOU MADE THE TRANSFER TO US VIA EMAIL.


THE INTERVIEW DETAILS SUCH AS VENUE, DATE AND TIME OF INTERVIEW WOULD BE COMMUNICATED TO YOU AS SOON AS WE GET

CONFIRMATION OF TRANSFER OF SECURITY DEPOSIT.



YOU ARE TO KEEP THE DETAILS OF INTERVIEW CONFIDENTIAL AS WE WOULD NOT WANT POLITICIANS AND GOVERNMENT OFFICIALS TO COME

INFLUENCE THE INTERVIEW PROCESS OF THAT DAY AS WE ARE COMMITTED TO A FAIR EMPLOYMENT PROCESS



DO NOTE THAT THE AMOUNT IS A SECURITY DEPOSIT AND WOULD BE RETURNED TO YOU IMMEDIATELY AFTER THE INTERVIEW



MANAGER.
REGARDS,
MR. BENITO ALBERTO
HRD -DIRECT RECRUITMENT MANAGER.
DAREVO OIL AND GAS


Home - Derevo Oil & Gas Exploration
 
Hata uandishi wao na kingereza chao hukushtuka tu kaka?

Pole sana lakini
 
Back
Top Bottom