Elections 2010 wito: mod anzisha forum ya "arusha politics"

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
wakuu,
kutokana na jinsi uchaguzi 2010 ulivyopelekea kutokea kwa matukio ya arusha; ambayo pia yanaakisi hali halisi ya yanayojiri nchini tanzania; ninayo heshima kupendekeza kuanzishwa kwa jukwaa la siasa za arusha kwa mod(s) na kuomba kuungwa mikono na wakuu wote weledi na wenye mapenzi mema na nchi yetu.

nawasilisha!
 
Kesho kutwa Dar nako kukichachamaa kufunguliwe yake?Ukifuatia mkoa mwingine nao wapate?Idea sio mbaya ila imekaa kibinafsi itasababisha makundi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom