Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Kasi ya nini,mikataba fake,kupora rasilimali zetu na ufisadi kila kona ya nchi,usingekuwa mjinga zaidi aisee.

Halafu kumbukeni kwamba ujinga mnaofanya sasa utaadhiri vizazi vyenu vijavyo,so you are playing with fire.
Acha uzushi ukiambiwa uoneshe huo ufisadi uliopo kila kona ya nchi utaonesha? Hizo rasilimali zilizoporwa ni zipi? Onesha na hiyo mikataba fake .
 
EEEeenHEEEeeeee!

Naona kumbe najadili na mpuuzi tu mmoja hapa asiyejua kitu chochote.
Basi endelea kwa wakati wako. Jifurahishe na huko "KUSUSIA UCHAGUZI."
How practical can that be?
Sioni mtu yeyote anayejibu hoja kwa nini kuna umuhimu wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kabla ya kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu 2025,zilizojaa ni talalila tu na ushabiki wa kijinga kwa CCM usio na sababu.Ni kama watu wamelishwa usembe hivi.Leteni hoja zenye mashiko why you think CCM should continue ruling Tanzanians,kama huna hoja ni talalila ya kazi iendelee,wakati hakuna kinachoendelea tunarudishwa nyuma kimaendeleo as a nation,please keep quite.
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake na kiuhalisia na za kwetu pia,zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha tu CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely.

Hapa sawa lakini siyo kwenye zile hoja zako za corona na chanjo zake.

Vipi kuhusu Yale makanisa yalivyokuwa yakichomwa moto na mashetwani, mlimaliza ukarabati wake?
 
Acha uzushi ukiambiwa uoneshe huo ufisadi uliopo kila kona ya nchi utaonesha? Hizo rasilimali zilizoporwa ni zipi? Onesha na hiyo mikataba fake .
It is everywhere to see.Wanyama wetu wanapelekwa Uarabuni,na mbuga za Wanyama zimeanzishwa huko.Na kwa sasa hatujui kabisa kinachoendelea kuhusu madini yetu.Ukimya wa nini?Report ya CAG imeonyesha wazi ufisadi unaoendelea.Unataka miradi fake hii hapa.
1.EPA
2.Deep Green
3.RICHMOND:Huu mkataba ulikuwa wa moto kiasi kwamba ilibidi aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowasa ajiuzulu ili serikali ya Kikwete isivunjike.
4.Symbion
5.IPTL
6.Mkataba wa TRL na RITES ya India
7.Kagoda
8.TICKS
9.DP World etc.etc.
 
Tunapiga sana kura. Na 2025 tumeapa kulinda kura zetu. Patachimbika. Hatukubali tena mambo ya goli la mkono.
Hatutaweza,as long as hakuna Tume Huru na Katiba Mpya,this is impossible,unajidanganya.

Labda niseme hivi,nadhani wewe upo hapa kudanganya watanzania,na possibly ni li-CCM.Naomba ujue kwamba Watanzania hawadanganyiki tena.

Narudia,hatuwezi kwenda kwenye Uchaguzi 2025 na Katiba inayowalinda CCM na Tume ya Uchaguzi waliyoiteua wao,tukawa na a free and fair election,wananchi tukashinda Uchaguzi,hizo ni ndoto za alinacha and impossible.

Naomba mkuu with all due respect usipotoshe watanzania.Kama CCM ina nia njemaa,kwa nini haitaki kabisa tuwe na Katiba Mpya na Tume Huru kabla ya Uchaguzi?Ni wazi kwamba lipo jambo ovu linalopangwa kufanywa,na tunalijua:wizi wa kura.
 
It is everywhere to see.Wanyama wetu wanapelekwa Uarabuni,na mbuga za Wanyama zimeanzishwa huko.Na kwa sasa hatujui kabisa kinachoendelea kuhusu madini yetu.Ukimya wa nini?Report ya CAG imeonyesha wazi ufisadi unaoendelea.Unataka miradi fake hii hapa.
1.EPA
2.Deep Green
3.RICHMOND:Huu mkataba ulikuwa wa moto kiasi kwamba ilibidi aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowasa ajiuzulu ili serikali ya Kikwete isivunjike.
4.Symbion
5.IPTL
6.Mkataba wa TRL na RITES ya India
7.Kagoda
8.TICKS
9.DP World etc.etc.
Umechanganyikiwa wewe.
 
kuhusu suala la kuiondoa ccm kwenye ballot papers hilo sahauni narudia tena sahauni,unless kuwe na katiba mpya tena ile itokanayo na warioba na tume huru ya uchaguzi vitu ambayo huwezi ona ccm inakubali kuvifanya.

Wananchi ndio wakuiondoa ccm madarakani kwanza wasusie uchaguzi hapa napo na wasiwasi ccm kuhonga mamluki wake wakapige kura kisha wanazi multiply hata mara 1000, ili ionekane wananchi wengi wamepiga kura.

Ccm sio chama cha siasa ni genge la wahuni na mafisadi.
Kweli kabisa unachosema

Ova
 
Umechanganyikiwa wewe.
Bisha kama hayo niliyoandika si kweli.Sasa kama ni kweli nimechanganyikiwa wapi,wewe si ndiye uliyechanganyikiwa unayekataa ukweli wa wazi?

Edward Lowassa hakujiuzulu kwa ajili ya mkataba mbovu wa RICHMOND.Wanyama wetu hawaendi Uarabuni?Tuna taarifa yeyote ya Makinikia yetu,yako wapi.Tunajua madini tunapata nini.CAG hakutoa taarifa ya ufisadi mpaka leo hakuna hatua iliyochukuliwa kwa yeyote.Na hiyo mikata mibovu mingine niliyotaja haikuwepo!?Sasa nimechanganyikiwa wapi.

Ninyi ma-CCM hampo kwa ajili ya Watanzania mpo kujaza matumbo yenu,hamna budi kuondoka.
 
Sioni mtu yeyote anayejibu hoja kwa nini kuna umuhimu wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kabla ya kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu 2025,zilizojaa ni talalila tu na ushabiki wa kijinga kwa CCM usio na sababu.Ni kama watu wamelishwa usembe hivi.Leteni hoja zenye mashiko why you think CCM should continue ruling Tanzanians,kama huna hoja ni talalila ya kazi iendelee,wakati hakuna kinachoendelea tunarudishwa nyuma kimaendeleo as a nation,please keep quite.
Huenda unalo tatizo la kuelewa unachokisoma, na hilo linaweza kuwa linatokana na kudhani kwako kwamba njia yako ya "KUSUSIA" ndiyo sahihi.
, hata ukiambiwa huo ni ujinga bado hutaki kuamini hivyo.

Sasa ongalia hili jingine unaloliweka hapa, la Katiba mpya na Tume Huru", kana kwamba leo ndiyo wewe umeligundua hili, kumbe karibu kila siku linajadiliwa humu humu JF?
Ina maana wewe bado huelewi kwamba Samia alishaaamua hakuwezi kuwepo Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2024 na 2025; lakini wewe bado umeshikilia hilo kana kwamba hujui kila kitu kilichokwishafanyika hadi ngazi hii?

Kukuonyesha tena ukosefu wa makini katika fikra zako, unapohimiza waTanzania wasusie uchaguzi, hata huelezi ni vipi hao waliosusia watazuia uchaguzi usiwepo kabisa. Wewe unataka tu, watu wasusie.

Utafanya uchawi gani ili kila raia wa Tanzania asusie kwenda kupiga kura? Hao wanachama watiifu wa CCM, pamoja na ubovu wa chama chao, wewe utawazuia vipi wasijitokeze kupigia kura chama chao?

Ndiyo maana nasema wewe ni mamluki tu wa CCM, upo hapa kupotezea watu muda wao kujadili upuuzi kama huu unaouweka humu.

Hopelss Kabisa.
 
Ninyi ma-CCM hampo kwa ajili ya Watanzania mpo kujaza matumbo yenu,hamna budi kuondoka.
Kwa haya yote ninayokuona ukiandika humu, sioni kuwa wewe unao unafuu wowote dhidi ya hayo ma-CCM unayoyaimba humu.

Huna suluhisho lolote ninaloona ukichangia kuwaondoa hao CCM hapo mahala walipo.

Huna 'focus'. You're allover the place!
Huna msaada wowote wa maana kwa Tanzania kuondokana na hiyo CCM.
 
Nina tatizo la kutokurlewa nonachokisoma,nadhani wewe ndiye unayejitoa ufahamu na kulifanya huelewi maana ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.Hivi vitu viwili ni muhimu sana kwa nchi yetu,hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.Wananchi lazima wawe na confidence kwamba their vote counts.Ilivyo sasa,nobody is sure whether his vote counts or not,kwa kuwa Tume ni CCM na wasimamizi
ni vijeba wa CCM.Sasa kuna haja gani ya kushiriki kwenye Uchaguzi kama huo,hakuna.It is infact a wastage of our resources.

Hebu mkuu naomba unipe jibu kwa nini CCM haitaki Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.Be frank.

Mkuu,hili swala ni muhimu kwa kuwa tunaelekea kwenye Uchaguzi 2025,so it is a call for action.Ndio tumelijadili sana JF,but there has never been a call for action.Mnajadili lakini hatimaye lazima mchukue hatua.Sixty three (63) years of independence hakuna kinachoeleweka,we now must take action.

Finally,comment hii inanionyesha how you people in CCM lack logic,rationale and reasoning.No wonder our country is so chaotic and disorganized.
 
Kwa haya yote ninayokuona ukiandika humu, sioni kuwa wewe unao unafuu wowote dhidi ya hayo ma-CCM unayoyaimba humu.

Huna suluhisho lolote ninaloona ukichangia kuwaondoa hao CCM hapo mahala walipo.

Huna 'focus'. You're allover the place!
Huna msaada wowote wa maana kwa Tanzania kuondokana na hiyo CCM.
If you really do not see why CCM should go, you have a serious thinking capacity.
 
Nina tatizo la kutokurlewa nonachokisoma,nadhani wewe ndiye unayejitoa ufahamu na kulifanya huelewi maana ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.Hivi vitu viwili ni muhimu sana kwa nchi yetu,hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.Wananchi lazima wawe na confidence kwamba their vote counts.Ilivyo sasa,nobody is sure whether his vote counts or not,kwa kuwa Tume ni CCM na wasimamizi
ni vijeba wa CCM.Sasa Kuna haja gani ya kushiriki kwenye Uchaguzi kama huo,hakuna.It is infact a wastage of our resources.

Hebu mkuu naomba unipe jibu kwa nini CCM haitaki Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.Be frank.

Mkuu,hili swala ni muhimu kwa kuwa tunaelekea kwenye Uchaguzi 2025,so it is a call for action.Ndio tumelijadili Sana JF,but there has never been a call for action.Mnajadili lakini hatimaye lazima mchukue hatua.Sixty three (63) years of independence hakuna kinachoeleweka,we now must take action.

Finally,comment hii inanionyesha how you people in CCM lack logic,rationale and reasoning.No wonder our country is shaghalabaghala.
Nadhani juhudi yako hapa ni kujaza tu kurasa kwenye hii mada yako, la sivyo sioni chochote cha maana unachoongezea katika maandishi yako toka mwanzo.

"Call for action". Ya kuhimiza waTanzania wasipige kura ili CCM angalao wajue hatuwataki, pamoja na kwamba watang'ang'ania madarakani?

"Call fo action" ipo wapi katika yooote uliyokwishayaandika humu tokea mwanzo wa mada yako. Umeweka mapendekezo yoyote ya kuzuia hata mamluki wa CCM wasiende kupiga kura?

"Call fo action". Umependekeza lolote nani asimamie na kuratibu hiyo 'Call for action'?

Unajaza maneno ya kiujumla jumla tu humu, ili mradi mada iendelee, au siyo?

Unapoambiwa, ni wakati mwafaka sasa hivi kwa chama cha upinzani kama CHADEMA kuweka mikakati ya kuzuia uhalifu unnaofanywa na CCM kwa kutegemea nguvu za wananchi wenyewe, hutulizi akili na kujaribu kutafakari maana ya jambo hilo ni nini, unarukaruka tu kila mahali na kujaza maneno mengi tu kwenye mabandiko yako.

Sasa wewe tukutegemee kwa lipi hasa!
 
If you really do not see why CCM should go, you have a serious thinking capacity.
Look, you must have a serious problem with understanding what you are reading. Show me anything in my writings where I am suggesting "CCM should NOT go".
Just give me one example of a statement I have made that gives you even a hint of what you're alleging here.

That's why I am saying, you're not serious.
 
1.Kalamu wewe ni fisadi kwa hiyo unataka ufisadi uendee.
2.Action required is clear,tususie uchaguzi ili CCM iabike ,lazima watajitafari and change their ways.
3.Hakuna haja ya kumiliki mamluki,watatoka wapi,na hakuna Uchaguzi tutasusia.
4.Wewe ni wa buku saba na karai la CCM,so unataka kuingiza the unsuspecting kwenye trap ya kuibiwa kura.
5.Sihitaji mtu anitegemee for anything,this is call for everybody to stay at,sasa anitegemee kwa lipi.

Anyway,message sent,tusubiri matokeo.
 
Duh!

Ni kazi bure kumpigia mbuzi gitaa ili acheze mziki.
You're confused. Totally confused.

Sina muda tena wa kuendelea na ngonjera hizi.
 
Look, you must have a serious problem with understanding what you are reading. Show me anything in my writings where I am suggesting "CCM should NOT go".
Just give me one example of a statement I have made that gives you even a hint of what you're alleging here.

That's why I am saying, you're not serious.
Kalamu I am sorry,it is enough,you and me have decided to differ.You are deliberately avoiding to address the serious shortcomings of CCM,and we cannot go on forever like that,you are spinning around.This is very typical of satanic forces.
 
Duh!

Ni kazi bure kumpigia mbuzi gitaa ili acheze mziki.
You're confused. Totally confused.

Sina muda tena wa kuendelea na ngonjera hizi.

Duh!

Ni kazi bure kumpigia mbuzi gitaa ili acheze mziki.
You're confused. Totally confused.

Sina muda tena wa kuendelea na ngonjera hizi.
1.Kabla ya Uchaguzi 2025 we need a New Constitution and an Independent Election Commission
2.If CCM does not provide those two things,everybody should stay at home,message sent.
 
Back
Top Bottom