Kokwa kavu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 220
- 41
Pamoja kiongozi, hakuna mwanafunzi wasasa kilaza. Wote washashtuka Ccm Ni kimeo/magumash
Bas October yetu mkuu
hahahaha, achen kuingiza siasa vyuon.
Kaka unalipwa shingapi na hao wachumia tumbo wa ukawa laiti wangekuwa na uchungu wa mabadiliko ya kweli kama ulivyo wewe upinzani ungekuwa mbali....
Lakini kula lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wa mbowe na sacos ndio huu, tamaaa ya pesa imemponza kakiua chama
Habari wakuu,
Napenda kutoa ushauri kwa wanafunzi wote wa vyuo walionyimwa haki zao na system mbovu ya CCM, wahamasishe watu huko maeneo walipo wapigie kura mabadiliko ya kweli yatakayoletwa na Mheshimiwa Lowasa kupitia UKAWA. Maana hakuna njia nyingne kuendelea kuwaacha hawa jamaa madarakani after Oct 25 2015.
Mfuasi mtendaji wa CHADEMA/UKAWA.