Wito kwa mabinti- usimtumie mwanaume ka kitega uchumi

Come to think of it mtu kama Kelvin, au Mawaziri hivi, hawa ma CEO kina Kime na Mafu, kweli kabisaaaa wakuapproach afu ULETE ZA FREE P, si watakimbia baruuuuuuuuuu!

Manake watajiuliza IF SHE IS THAT CHEAP MANAKE KILA MTU ANAMUAFFORD SO JAMVI LA WAGENI WA KILA UMRI, ECONOMIC STATUS, PURUKUSHANI!!!!!!!!!!!

Free P sio kila mahala ni mahala pake! Sehemu nyingine ni nomaaaa! HIVI WOTE NILIOWATAJA WAMEOA EEEH? MY BAD!

kime......i au?mhh haya...
Loh kelvi jmn mumpe nafasi wadada wa mjini atulie kwenye ndoa kdogo,lol
 
Uzuri wako hata wakati huo ntakapokua na kupa hio mihela nini nini na vitu vya kufanana na wewe sijakiwa najua nakuhonga... ntakua najua nakutoa kishkaji mtu wangu wa nguvu, pia naboresha penzi letu. Ila ile ya kutoa kama unanunua bidhaa.. I will never do that on my senses. Ila kivingine mbona hata gari linakutoka kwa gia ya kutoana na janja nyinginezo... In developing countries a spade isnt a spade yet.

Ukiwa hutumii pesa utakuwaunakula MISANTURAAA tu, isiyokuwa HOT IN DEMAND sokoni, IF YOU DESERVE THE BEST, ONLY THE BEST AND NOTHING BUT THE BEST LAZIMA UNOSHE MAKALI YA KISU BABA! ITS A FREE COUNRTY BUT A COMPEPETIVE ECONOMY!
 
hapo red mi hata sielewagi....je hako ka sentensi huwakako kwenye simu au?

nnavojua ni by default tu ukitumia bb,iphone,htc nk zinajipost zenyewe via something....
Sasa mtoa mada hapo sumsung sijuii loooh,washafika hasi s3000 hata s1 sina...!!!...asalalee
 
Uzuri wako hata wakati huo ntakapokua na kupa hio mihela nini nini na vitu vya kufanana na wewe sijakiwa najua nakuhonga... ntakua najua nakutoa kishkaji mtu wangu wa nguvu, pia naboresha penzi letu. Ila ile ya kutoa kama unanunua bidhaa.. I will never do that on my senses. Ila kivingine mbona hata gari linakutoka kwa gia ya kutoana na janja nyinginezo... In developing countries a spade isnt a spade yet.
Kutoa ni kuchunwaaa tu, hata kama unampa mkeo na matter the reason.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom