Kitendo cha IGP Said Mwema kuruhusu matumizi makubwa ya nguvu zidi ya maandamano ya amani mjini Arusha hakiwezi kupita bila kulaaniwa na sisi wanamageuzi. CHADEMA alikuwa na kibali cha kufanya maandamano na mkutano halali kwa kufuta sheria zote za nchi. RPC wa Arusha alitoa kibali na kuahidi kutoa ulinzi. Ilikuwaje wewe unayedai taarifa za kiintelijinsia kungekuwa na uvunjifu wa amani kutumia nguvu za kipolisi kufanya mauwaji? Ifike wakati ufahamu kuwa mishahara ya polisi ni kodi zetu sisi wananchi. Kitendo cha polisi kupiga wakina mama na watoto wasio na makosa tunakilaani kwa nguvu zote. Demokrasia ya kweli na mageuzi haviwezi kuzuiwa kwa nguvu za dola. Wewe kama ni Muungwana tunakuomba ujiuzulu maana ni dhahiri humeshindwa kazi ya kulinda usalama wa raia.
Saidi Mwema tupe zawadi ya mwaka mpya kwa kujiuzulu. Jeshi la polisi ni la watanzania wote, kitendo cha kutumiwa na wanasiasa kunyamazisha upinzani ni sawa na kuzima moto kwa kutumia petrol.
Rev Masa K

Na pengine itakuwa vema wale wote waliowaanda wanachama wao kupambana na jeshi la polisi wajiuzulu
Na hapa bila kumumunya maneno Slaa, Mbowe wajiuzulu??? siasa imewashinda wanataka kupambana??
Wajiunge na jeshi kwani jeshi kazi yake ni kupambana na wavunjifu wa sheria na wachochezi
Eti tunataka nchi isitawalike kama hiyo maono ya Slaa! basi kero kwa jamii yetu lol
Nchi isipotawalika anapata faida gani? au kwakuwa hana family ana vipenzi vya muda tu????
Bila kukuficha wewe huna akili! Kwa kukusaidia Jeshi la polisi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kazi yake ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Jeshi halikuundwa kupambana na raia wema.
Bila kuficha pia wewe huna akili??
Jeshi limeundwa kulinda usalama wa raia wema ok
Litalinda raia wema kwa kuzuia raia wavunjifu wa amani (wanachama wa cdm) na wachochezi (viongozi wacdm)
Hivi unafikiri watu wote hapa arusha wanapenda hayo maandamano yenu mnachekesha?
Watu wanataka utulivu wafanye kazi, wewe kura umeshindwa unalialia unataka nchi isitawaliki
Who damn you are? isitawalike ili upate faida gani kwakuwa umekosa urais ndio na sisi tusifanye kazi zetu?
Sounds like a Crap!
Kwisha habari yako wale wale wanachama wa cdm...ngoja mvunjwe miguu...
Kama kwenye laptop unatukana kwa kosa hoja ..kwanini nisiamini kuwa ndivyo mlivyo
eti na wewe utakuwa mbunge ..what a worst?
Saidi Mwema ni lazima ajiuzulu kwa mauaji haya. La sivyo Mungu atamshushia laana kali sana kwa damu za watu hawa wasio na hatia waliopoteza maisha yao. Huyu ni muuaji, lazima ajiuzulu mara moja huku akisubiri zamu yake ya kwenda The Hague.