Mkuu tafuta iphone 8 au 7 zote hizo zinapata ios15.Kuna tu feature na tu madoido hua tunanivuta sana kuja IOS ila mfuko unanibana ,nikitokea kuipata iphone hasa hizi latest nitashukuru acha nikae tu na midrange za xiaomi ipo siku nitakua Os zote
Naipenda umbo la 8 au niuzie yako ulikua na model gani
Nilikuwa na 6s naona haipati ios 15.Naipenda umbo la 8 au niuzie yako ulikua na model gani
Nipe nimalizie tu hivo hivo nita upgrade baadae
ios 15 naona haijafika TZ bado
ios 15 naona haijafika TZ bado
Kuna tu feature na tu madoido hua tunanivuta sana kuja IOS ila mfuko unanibana ,nikitokea kuipata iphone hasa hizi latest nitashukuru acha nikae tu na midrange za xiaomi ipo siku nitakua Os zote
ok ila hakuna update ya new version mpaka sasaIkiwa tayari simu zote zinazo support zitapata. Haijarishi ni wapi au nchi gani
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Good news ni kwamba iphone 6s itasapoti ios15
Update bado haijatoka mkuu.ok ila hakuna update ya new version mpaka sasa
labda simu zetu ni fake!!
Sasa hivi wanaopata ni developers.ok ila hakuna update ya new version mpaka sasa
labda simu zetu ni fake!!
ni mapema kusema hivi,ios 14 pia ilisemekana haitakaa kwenye 6s,ila ikakaa.
Wamesema inapatani mapema kusema hivi,ios 14 pia ilisemekana haitakaa kwenye 6s,ila ikakaa.
maana nilikokuwa nako japo nimenywea bia,kalisogea mpaka 14.6.0Wamesema inapata
Hapa tuu ndio nawakubali apple.Ios 15 itaingia kwenye 6s na kupanda