SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Licha ya rabsha ya juzi ya baadhi ya wabunge kutolewa ndani ya bunge na kuzua mshangao na masikitiko, bungeni pametokea majibizano kati ya wabunge yaliyojaa usharp wa akili na kuchekesha.Angalia majibu alopewa mbunge mmoja aliyejaa majigambo.
MBUNGE A (Kwa kujitapa na majigambo): CCM ina nguvu sana. Ilishinda zaidi ya asilimia 60.
MBUNGE B (Kwa kujiamini): CCM ingekuwa na nguvu. ingeshinda jimbo la ubungo!
MBUNGE A (Kwa kujitapa na majigambo): CCM ina nguvu sana. Ilishinda zaidi ya asilimia 60.
MBUNGE B (Kwa kujiamini): CCM ingekuwa na nguvu. ingeshinda jimbo la ubungo!