Maneno ya hekima huuponya moyo unaougua, hufariji waliovunjika na huwapa nguvu waliokata tamaa.
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya maneno mbalimbali ya hekima “WISDOM CORNER” unaweza kushare motivation/inspiration qoutes au post zozote za hekima/wisdom huwezi jua nani utamsaidia humu kwa maneno hayo hata kama umewanukuu wengine.