Wiring ya umeme

Aika Mndumii

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
164
Reaction score
47
Wakuu naomba ushauri:

katika wiring ya umeme wa nyumba kuna huu waya unaotoa umeme kwenye nguzo kuingiza kwenye main switch je huu waya unaruhusiwa kuugwa? kuna fundi amefanya wiring na ameunga huu waya je ni sahihi?

Wadau wa umeme naomba advice..
 
jibu ni no no. huyo fundi kishoka. ila wachaga bahili sana,si umpe pesa afunge waya nzima?
 
sio shida kama ameziunga kwa umakini na kuzifunga na insulation tape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…