Wireless problem

jamiiyamtimkavu

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
274
Reaction score
192
Wanajamvi naomba nianze kwa kuwasalimu.
Kalaptop kangu HP window 7, hakakubali kupokea wireless internet ya ofisi hadi nichomeke cable. Hata WiFi hotspot sasa hivi haisomi ktk hii laptop. Tatizo lilianza baada ya Ku uninstall program iliyokuwa kama virus. Nimejitaidi nimekwama naomba msaada.
 
Kama unahisi ni virus tafuta antivirus uscan pia unaeza kuangalia kama kuna button ya kuwasha na kuzima wireless
 
Restore your laptop to an earlier point. Then anzia hapo kuangalia nn tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…