Sasa mimi hizi sitokuwa na kazi nazo kwa kweli. Hivi mainjinia hawajui kuchagua zawadi au wanafanya kusudi?hizo ni wireless card inaipa uwezo pc isiyokuwa na wi -fi uwezo wa kuwa nayo...
kutuma na kupokea network,,hiyo ndio kazi yake..
nimecheka sana hiyo zawadi 😀,,hiyo itakuwa ni makusudi,,Sasa mimi hizi sitokuwa na kazi nazo kwa kweli. Hivi mainjinia hawajui kuchagua zawadi au wanafanya kusudi?
hahhahahaahSasa mimi hizi sitokuwa na kazi nazo kwa kweli. Hivi mainjinia hawajui kuchagua zawadi au wanafanya kusudi?
Hahahahaa je, sisi walinzi unatuzungumziaje?Sasa mimi hizi sitokuwa na kazi nazo kwa kweli. Hivi mainjinia hawajui kuchagua zawadi au wanafanya kusudi?
hahahaa akijibu nitagiHahahahaa je, sisi walinzi unatuzungumziaje?
Akikuletea nipe moja.Nimeshaweka picha ya mojawapo.
Mkuu kwanza ufahamu pc card ni port kama zilivyo port nyengine za usb,Hdmi etc hicho ni kifaa kinachochomekwa kwenye port fulani maalumu. Mara nyingi inakuwa kwenye laptop za kizamani, laptop mpya si rahisi.
Nimesoma online pc card ilikuwa inatumika mwaka 2004 kushuka chini ilikuwa kuwa repaced na express card.
Hicho kifaa kilikuwa na uwezo kushinda wifi 802.11g ya kipindi hicho na speed hadi 120mbps ya wifi. Kwa standard ya sasa kipo outdated sana.
Kwa kukiuza watafute wanauza laptop za kizamani machinga complex ama kkoo, uviuze vyote kwa pamoja, zipo laptop kibao zisizo na wifi, sema usiwe na expectation kubwa.
Kashaondoka.Kwanini usimrudishie mwenyew?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk